Ilipaswa umuulize kwamba ili nisisali uongo nisalivipi? Kwa utaratibu tu. Au Kuna shida umeiona kwangu inakwamisha sala zangu? Ila sio kuona ni mzaha tuNawasalimu.
Mnisamehe kwa kutokuwa mwandishi mzuri.
Moja kwa moja kwenye hoja ya msingi.
Nimeishi kwenye ndoa na huyu mke wangu kwa miaka 10 na kujaliwa watoto wawili.
Kilichonifanya nije hapa kuomba msaada wa mawazo ni hili tatizo la mizaha ya huyu mke wangu, amekuwa mtu wa kujibu au kuongea bila ya kuweka mipaka (kutenganisha kipi Cha kuongea na mpenzi na kipi Cha kuzungumza na mume ambaye ni mkuu wa kaya).
Nikiri ya kuwa katika maisha yetu yote nilishawahi mchapa makofi mara 3 kitu ambacho sitaki kukikumbuka na sitaki kitokee tena, ila nilifanya vile Ili tuu aweze kutambua kuwa sipendezwi na tabia zake.
Tabia hiyo ya kutokuwa na mipaka hasa ya kuzungumza haijawahi kwisha zaidi ya kupungua kwa muda na baadae kuanza tena.
Nimewahi kutumia kanuni ya kumtoa out na kwenda naye sehemu ya faragha na kumuambia kuhusu kutopendezwa na tabia zake huwa anaomba msamaha lakini baada ya muda hurudia tena.
Kiukweli ninampenda sana mke wangu, na mahusiano yetu yalianza tangu tukiwa secondary na baadae kuja kuoana.
Nje ya kumkanya mara kwa mara, niliona ni busara kufikisha jambo hili kwao, Ili waweze kumkanya binti yao, ila sikuona mabadaliko yoyote yale.
Yote yaliyotendeka niliweza kuvumilia ila hili nililolipata wiki hii, limenizidi uwezo. Baada ya chakula Cha jioni tukaingia chumbani, alikuwa anapanga nguo Mimi nikatangulia kuoga, baada ya muda nikatoka yeye akiwa Bado busy, kama kawaida kabla ya kulala ni kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake wa siku, nikasikia akiseme acha kusali uongo.
Niliumia sana, nikamaaliza sala na kumuuliza ulikuwa unamaana gani, nikaona anacheka, nikamuuliza hii midhaha yako itaisha lini lakini akawa anaendelea kucheka, kwa kweri nilipatwa na hasira sana ila niliishia kutoka kwenda barazani ningeendelea kuwa pale ningeweza kumpiga kitu ambacho sitaki kitokee tena.
Mimi nimemzidi miaka 4 huyu mke wangu , hata kielimu nimemzidi, kisalary nimemzidi zaidi ya mara 4. Nimeandika hivi Ili kutoa Ile dhana ya kuwa huenda nalelewa, nafanya majukumu yangu kama baba vizuri kabisa( ada, matibu, mavazi, afya, makazi) kwake na kwa watoto wetu.
Kutokana na hili huwa nakuwa na mawazo sana, kitu ambacho natamani kufanya maamuzi magumu ya kumwacha ila moyo unasita.
Ushauri wenu utaniponya.
😂sawa mzee wa vibaoMsipopigwa hua mnaleta mazoea kwa mume. Mazoea hayo hugeuka dharau, kwangu mm nakupa vibao
HahahahaHivi kumbe WANAUME mnaochapa wanawake MAKOFI BADO mpo?Napenda hayo mambo ILA MAKOFI yasiwe ya kikilya
Asante kwa maoni yako, ila huwa namuelekeza na anaelewa ila baada ya muda kidogo anarudiaUtani usiopitiliza sioni kama shida alafu hivyo vitu vidogo am sure na wewe unamapungufu yako endelea kumpa Muongozo mwenzio
Tatizo ilikuwa kwa nn afanye vile wakati sijamaliza, angeniacha kwanza nimalizeIlipaswa umuulize kwamba ili nisisali uongo nisalivipi? Kwa utaratibu tu. Au Kuna shida umeiona kwangu inakwamisha sala zangu? Ila sio kuona ni mzaha tu
Hichi ndicho ninachoanza kuzaniakashakaa na ww muda mrefu kajua we ni kajitu kadhaifu dhaifu boya mmoja tu ndo maana hata ukimwambia kitu hupendi hawezi kukuskiliza
mmmmmm Mimi naona haihitaji marekebisho yoyote, kwani unamke mzur sana tena anaishi na wewe kirafiki tena kimahusiano safi kabisaaa
Tatizo lipo kwako. Your a seriously people. Unataka na yeye awe serious kwenye kila kitu kama wewe. Punguza hicho kilichopo kwenye kichwa/moyo wako, utamfurahia mke wako
Akikwambia acha kusali uongo mwambie je, yupo bora mimi ninayesali uongo na wewe ambaye hujasali hahahaha...... kuja hapa nikunyandue ndio ushukuru kumpat mme mcha Mungu hahahahaa

Umepata mke mwema Sana Tena Kama ningekuwa wewe ningekuwa mwenye amani Sana,kufanya mizaa na mke,Safi Sana,Mimi ni Muslim napokuwa na mke wangu Huwa na mizaa mingi Sana,kwakweli huwaa nafurahia SanaNawasalimu.
Mnisamehe kwa kutokuwa mwandishi mzuri.
Moja kwa moja kwenye hoja ya msingi.
Nimeishi kwenye ndoa na huyu mke wangu kwa miaka 10 na kujaliwa watoto wawili.
Kilichonifanya nije hapa kuomba msaada wa mawazo ni hili tatizo la mizaha ya huyu mke wangu, amekuwa mtu wa kujibu au kuongea bila ya kuweka mipaka (kutenganisha kipi Cha kuongea na mpenzi na kipi Cha kuzungumza na mume ambaye ni mkuu wa kaya).
Nikiri ya kuwa katika maisha yetu yote nilishawahi mchapa makofi mara 3 kitu ambacho sitaki kukikumbuka na sitaki kitokee tena, ila nilifanya vile Ili tuu aweze kutambua kuwa sipendezwi na tabia zake.
Tabia hiyo ya kutokuwa na mipaka hasa ya kuzungumza haijawahi kwisha zaidi ya kupungua kwa muda na baadae kuanza tena.
Nimewahi kutumia kanuni ya kumtoa out na kwenda naye sehemu ya faragha na kumuambia kuhusu kutopendezwa na tabia zake huwa anaomba msamaha lakini baada ya muda hurudia tena.
Kiukweli ninampenda sana mke wangu, na mahusiano yetu yalianza tangu tukiwa secondary na baadae kuja kuoana.
Nje ya kumkanya mara kwa mara, niliona ni busara kufikisha jambo hili kwao, Ili waweze kumkanya binti yao, ila sikuona mabadaliko yoyote yale.
Yote yaliyotendeka niliweza kuvumilia ila hili nililolipata wiki hii, limenizidi uwezo. Baada ya chakula Cha jioni tukaingia chumbani, alikuwa anapanga nguo Mimi nikatangulia kuoga, baada ya muda nikatoka yeye akiwa Bado busy, kama kawaida kabla ya kulala ni kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake wa siku, nikasikia akiseme acha kusali uongo.
Niliumia sana, nikamaaliza sala na kumuuliza ulikuwa unamaana gani, nikaona anacheka, nikamuuliza hii midhaha yako itaisha lini lakini akawa anaendelea kucheka, kwa kweri nilipatwa na hasira sana ila niliishia kutoka kwenda barazani ningeendelea kuwa pale ningeweza kumpiga kitu ambacho sitaki kitokee tena.
Mimi nimemzidi miaka 4 huyu mke wangu , hata kielimu nimemzidi, kisalary nimemzidi zaidi ya mara 4. Nimeandika hivi Ili kutoa Ile dhana ya kuwa huenda nalelewa, nafanya majukumu yangu kama baba vizuri kabisa( ada, matibu, mavazi, afya, makazi) kwake na kwa watoto wetu.
Kutokana na hili huwa nakuwa na mawazo sana, kitu ambacho natamani kufanya maamuzi magumu ya kumwacha ila moyo unasita.
Ushauri wenu utaniponya.
duuu asa km ulivo hapo pichani mwakwetu ntaanzia wapi mie kukuudhi???......ukiona nimekujibu shit! Ujue najifanya tu...ukisema tu naondoka roho ni pwaa.tumbo la kuhara.....unatikisa na mie natikisa huku lkn ke mnatuweza sana.Ndoa acheni iitwe ndoa jamanii chaaa