Aaah mkuu mambo madogo hayo mbona?? sababu hapo unamuita unamkanya alichokifanya kulingana na imani yako na kumsisitiza aongeze hofu na Mungu na sio kumpiga au kununa.......... uzuri ni dini moja atakuelewa kirahisi mkuu.Angenisubiri kwanza nimalize afu aseme ni uongo wala nisingeumia ila nipo katikati ya ibada mtu anasema nasali uongo.
Sisi wote ni wa dini moja
Experience yako na wanawake ni mbovu sana, mwanamke kama mtt ukimchekea nae anazidi kucheka na jamaa ashasema hapendezwi na tabia hiyo so unataka mwanamke aendelee kumletea masiara jamaa!??Kusema kweli we ndo mwenye matatizo asee. We unataka kuishi kama mko Kambi ya jeshi? Shida unapimia kumzidi elimu na mshahara unataka akusujudie
Hapo baada ya kumaliza kusali wakati ye anapanga Nguo kabatini ungeenda kumkumbatia Kwa nyuma ukamuuliza na kumwambia unasemaje wewe? Subiri adhabu Yako kitandani ukimaliza kupanga Nguo, najua alikuwa na kanga Moja tu hapo
Ishi na mkeo kama Mshkaji wako bloo ufurahie maisha
jamaa anapanic wkt washakuwa watani wa jadi. ngoja apate wa kumpasua kichwaKama umeshakaa nae zaidi ya miaka 10 na mmeanza mapenzi tokea secondary nyie ni malegend hamwezi shindwana fanyeni kutatua shida zenu wenyewe maana ushauri wa nje utaharibu zaidi.
Kuna kitu kimoja tumeshindwa elewa kizazi cha sasa cha kiume, tunataka tuishi maisha yale ya wazazi wetu. Ukifika home house inakuwa kimya kila mtoto anatafuta chaka lake, mke anapokea kifulushi, anaenda kukuandalia maji ya moto. Anasubiri kdg anakuandalia chakula.nk. kizazi hiki cha kike hakiishi zama zile tunazotaka sie tuliyoyaona kwa wazazi wetu, wake wanataka mpige story mcheke na utani kibao kama marafiki, kingine wazazi wetu wa kike 80% walikiwa wamama wa nyumbani so maandalizi mengi kwa waume zao yalikuwa easy sasa hawa nao wantoka kazini kwa mabosi zao nao wana stresd zao, home tu kwa waume zao ndio wanaoata amani. Sasa sie tunakutana kituo cha basi tumependana mara paaap mimba isiwe shida unaoa nk...Kitchen party sio mafunzo ni sehemu ya sherehe na kuenda kukusanya vyombo maana nae aliwachangia wenzake sio swhwmu ya mafunzo ya ndoa ya pale yanaachwa palepale. Vijana wa kiume wa sasa tukiwa seriously sana na hizi ndoa kama wababa wa zamani hatuboi, tutwapiga makofi tutauwa nasie kunyongwa mpaka kufa...wa leo wanafanyakazi nao wanajiweza na majukumu kusaidiana....tusiwe rigid sana...ukiona haelewi mtoe out mpe raha alafu mwelezi hii kitu sijaipenda...kizazi hiki cha kike hakitaki ukauzu sana tutaishia kupigiwa kuwa mkali when necessary and be humble all the time...jamaa kapata mke wa masihara soul mate analia lia tu.Mkuu nadhani wewe ndo mwenye matatizo! Sasa kwa mfano hapo ulichokasirika mpaka kwenda kukaa barazani ni nini?
Mbona unacomplicate sana maisha? Kwa kweli kama mambo kama haya ndo ulienda kushtaki ukweni hakika walikushangaa sana!
Experience yako na wanawake ni mbovu sana, mwanamke kama mtt ukimchekea nae anazidi kucheka na jamaa ashasema hapendezwi na tabia hiyo so unataka mwanamke aendelee kumletea masiara jamaa!??
Sasa miaka 10 yote hujazoea tabia hiyo, mapungufu yake hujayazoea kwa miaka yote 10?Nawasalimu.
Mnisamehe kwa kutokuwa mwandishi mzuri.
Moja kwa moja kwenye hoja ya msingi.
Nimeishi kwenye ndoa na huyu mke wangu kwa miaka 10 na kujaliwa watoto wawili.
Kilichonifanya nije hapa kuomba msaada wa mawazo ni hili tatizo la midhaha ya huyu mke wangu, amekuwa mtu wa kujibu au kuongea bila ya kuweka mipaka ( kutenganisha kipi Cha kuongea na mpenzi na kipi Cha kuzungumza na mume ambaye ni mkuu wa kaya).
Ni kili ya kuwa katika maisha yetu yote nilishawahi mchapa makofi mara 3 kitu ambacho sitaki kukikumbuka na sitaki kitokee tena, ila nilifanya vile Ili tuu aweze kutambua kuwa sipendezwi na tabia zake.
Tabia hiyo ya kutokuwa na mipaka hasa ya kuzungumza haijawahi kwisha zaidi ya kupungua kwa muda na baadae kuanza tena.
Nimewahi kutumia kanuni ya kumtoa out na kwenda naye sehemu ya faragha na kumuambia kuhusu kutopendezwa na tabia zake huwa anaomba msamaha lakini baada ya muda hurudia tena.
Kiukweri ninampenda sana mke wangu, na mahusiano yetu yalianza tangu tukiwa secondary na baadae kuja kuoana.
Nje ya kumkanya mara kwa mara, niliona ni busara kufikisha jambo hili kwao, Ili waweze kumkanya binti yao, ila sikuona mabadariko yoyote yale.
Yote yaliyotendeka niliweza kuvumilia ila hili nililolipata wiki hii, limenizidi uwezo. Baada ya chakula Cha jioni tukaingia chumbani, alikuwa anapanga nguo Mimi nikatangulia kuoga, baada ya muda nikatoka yeye akiwa Bado busy, kama kawaida kabla ya kulala ni kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake wa siku, nikasikia akiseme acha kusali uongo.
Niliumia sana, nikamaaliza sala na kumuuliza ulikuwa unamaana gani, nikaona anacheka, nikamuuliza hii midhaha yako itaisha lini lakini akawa anaendelea kucheka, kwa kweri nilipatwa na hasira sana ila niliishia kutoka kwenda barazani ningeendelea kuwa pale ningeweza kumpiga kitu ambacho sitaki kitokee tena.
Mimi nimemzidi miaka 4 huyu mke wangu , hata kielimu nimemzidi, kisalary nimemzidi zaidi ya mara 4. Nimeandika hivi Ili kutoa Ile dhana ya kuwa huenda nalelewa, nafanya majukumu yangu kama baba vizuri kabisa( ada, matibu, mavazi, afya, makazi) kwake na kwa watoto wetu.
Kutokana na hili huwa nakuwa na mawazo sana, kitu ambacho natamani kufanya maamuzi magumu ya kumwacha ila moyo unasita.
Ushauri wenu utaniponya.
Kunywa bia ujinga ukutoke.Nawasalimu.

Ushawahi kumpiga mke wako mara ngapi?Shida inaanzia hapo wewe kutompiga japovibao kadhaa. Kuna watu mpaka nguvu itumike ndio wanaelewa. Mwanamke kuna muda mwenyewe anamiss kupigwa, usimnyime kibao mke wako
Ndoa ni kuvumiliana. Kama ulishajua kuwa tabia yake ndiyo hiyo basi hebu poa maisha yaendelee.Kilichonifanya nije hapa kuomba msaada wa mawazo ni hili tatizo la midhaha ya huyu mke wangu, amekuwa mtu wa kujibu au kuongea bila ya kuweka mipaka ( kutenganisha kipi Cha kuongea na mpenzi na kipi Cha kuzungumza na mume ambaye ni mkuu wa kaya).
Nitazingatia hili, asante kwa ushauriKuwa mkali brother, nakumbuka ilishawahi nitokea tuko kwenye Sala katikati kabisa mara simu inaita et jirani(mpangaj mwenzangu) anampigia simu wife akimuomba amfungulie mlango wife kapokea simu na akatoka kwenda kufungua aliporudi alichokutana nacho hajawah rudia huo ujinga. Onyesha uanaume kwenye mambo sirias, mizaha na utani kwenye ndoa huchangamsha maisha yaende usiwe Siri sana la kama Anord swaziniga kwenye terminator
Asantekumbadilisha mtu mzima ni kazi narudia ni kazi,kama unataka kuishi kwa amani mchukulie hivohivo
Kwani sala ni nini? Mapaka itunyime binadamu furaha ya kucheka na wapendwa wetu?Utani kwenye Sala? Hapo alichemka kabisa