- Thread starter
- #61
Ni first born nduguMleta mada ni Last born Under Ceteris Peribus
Ni first born nduguMleta mada ni Last born Under Ceteris Peribus
Nilishawahi kufanya hivyo, ila nilijisikia vibaya sana, sitaki nirudie tena kumpigaShida inaanzia hapo wewe kutompiga japovibao kadhaa. Kuna watu mpaka nguvu itumike ndio wanaelewa. Mwanamke kuna muda mwenyewe anamiss kupigwa, usimnyime kibao mke wako
Angenisubiri kwanza nimalize afu aseme ni uongo wala nisingeumia ila nipo katikati ya ibada mtu anasema nasali uongo.Acha kumpiga mkeo kwanza, ila pia mbona ni jambo la kawaida??? kwani Dini mnatofautiana au ni moja?? pale alipokuambia unasali uongo ungemuuliza kwanini kiutaratibu angekujuza inawezekana kuna jambo umefanya ila wewe umetoka umeenda kukaa barazani ndio tatizo kwa madai umesusa, ila waswahili husema ukisusa wenzio wala
Acha kumnunia mkeo kwa mambo madogo sana, kwanza miaka 10 kwenye ndoa hujakubali kumzoea mtu kweli??? jaribu kukubali kua hilo ndio dhaifu lake hivyo mbebee kama mkeo songa mbele..........
Mtu wa namna hii nafanyaje kumdhibiti?Kuna wanawake wanapenda shari shari, inatokea tu anataka kuanzisha kaugomvi pasipo sababu ya msingi, na anasikia raha kufanya hivyo, inawezekana wako ni mmoja wa hilo kundi.
Issue sio utani, ila anafanya mizaha.Nilichoona kwa huyu mwamba ni ushamba, inainyesha mke ni mcheshi na mpenda utani tu
Asante sana kwa wazo zuri, nitafuatiliaKwenye somo la Psychology kuna mada ya Peronality.
Ingia kwenye hiyo mada google ubainishe aina kadha,hasa zinazolandana na tabia ya mkeo,uone kama vinarekebishika au jinsi ya kwendana navyo.
Vinginevyo utaumiza akili yako/utatoa maamuzi yatakayo kugharimu wewe binafsi.
Inawezekana, ila sichepuki, ila kwa hii tabia yake huenda nikafikiria.Either unachepuka au yeye anahisi hivyo, anafahamu au anzihisi dhambi zako na anafahamu au anshisi unaziendeleza, hivyo anakwambia acha kumdhihaki Mungu.
Tunakusamehe kwa kutokuwa mwandishi mzuri.Nawasalimu.
Mnisamehe kwa kutokuwa mwandishi mzuri.
Moja kwa moja kwenye hoja ya msingi.
Nimeishi kwenye ndoa na huyu mke wangu kwa miaka 10 na kujaliwa watoto wawili.
Kilichonifanya nije hapa kuomba msaada wa mawazo ni hili tatizo la midhaha ya huyu mke wangu, amekuwa mtu wa kujibu au kuongea bila ya kuweka mipaka ( kutenganisha kipi Cha kuongea na mpenzi na kipi Cha kuzungumza na mume ambaye ni mkuu wa kaya).
Ni kili ya kuwa katika maisha yetu yote nilishawahi mchapa makofi mara 3 kitu ambacho sitaki kukikumbuka na sitaki kitokee tena, ila nilifanya vile Ili tuu aweze kutambua kuwa sipendezwi na tabia zake.
Tabia hiyo ya kutokuwa na mipaka hasa ya kuzungumza haijawahi kwisha zaidi ya kupungua kwa muda na baadae kuanza tena.
Nimewahi kutumia kanuni ya kumtoa out na kwenda naye sehemu ya faragha na kumuambia kuhusu kutopendezwa na tabia zake huwa anaomba msamaha lakini baada ya muda hurudia tena.
Kiukweri ninampenda sana mke wangu, na mahusiano yetu yalianza tangu tukiwa secondary na baadae kuja kuoana.
Nje ya kumkanya mara kwa mara, niliona ni busara kufikisha jambo hili kwao, Ili waweze kumkanya binti yao, ila sikuona mabadariko yoyote yale.
Yote yaliyotendeka niliweza kuvumilia ila hili nililolipata wiki hii, limenizidi uwezo. Baada ya chakula Cha jioni tukaingia chumbani, alikuwa anapanga nguo Mimi nikatangulia kuoga, baada ya muda nikatoka yeye akiwa Bado busy, kama kawaida kabla ya kulala ni kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake wa siku, nikasikia akiseme acha kusali uongo.
Niliumia sana, nikamaaliza sala na kumuuliza ulikuwa unamaana gani, nikaona anacheka, nikamuuliza hii midhaha yako itaisha lini lakini akawa anaendelea kucheka, kwa kweri nilipatwa na hasira sana ila niliishia kutoka kwenda barazani ningeendelea kuwa pale ningeweza kumpiga kitu ambacho sitaki kitokee tena.
Mimi nimemzidi miaka 4 huyu mke wangu , hata kielimu nimemzidi, kisalary nimemzidi zaidi ya mara 4. Nimeandika hivi Ili kutoa Ile dhana ya kuwa huenda nalelewa, nafanya majukumu yangu kama baba vizuri kabisa( ada, matibu, mavazi, afya, makazi) kwake na kwa watoto wetu.
Kutokana na hili huwa nakuwa na mawazo sana, kitu ambacho natamani kufanya maamuzi magumu ya kumwacha ila moyo unasita.
Ushauri wenu utaniponya.
Asante kwa ushauri kaka, ila inaumiza kichwa sana.Nakuelewa Sana mtoa mada Mimi ilinikuta hio kidogo niue toto la mtu..now sitaki Tena Ndoa kwa sababu ya mdomomdomo wa wanawake na dharau.kila siku ananipigia simu turudiane sometimes namuonea huruma nikikimbuka mauno yake SI unajua Tena watoto wa pwani huwa hawakosei kitandani hawafanyi makosa kwingine Huku ndo hivo dharau...anyway nakushauri wako mna muda mrefu na familia hivo usimuache endelea kuongea naye...me wangu hatukufunga ndoa na pia hatukuwa na mtoto so ni rahisi kumtema kucheki changamoto nyingine...all in all wanawake wanafanana tabia
HahahahahahaKusema kweli we ndo mwenye matatizo asee. We unataka kuishi kama mko Kambi ya jeshi? Shida unapimia kumzidi elimu na mshahara unataka akusujudie
Hapo baada ya kumaliza kusali wakati ye anapanga Nguo kabatini ungeenda kumkumbatia Kwa nyuma ukamuuliza na kumwambia unasemaje wewe? Subiri adhabu Yako kitandani ukimaliza kupanga Nguo, najua alikuwa na kanga Moja tu hapo
Ishi na mkeo kama Mshkaji wako bloo ufurahie maisha


, asante sana, nitajaribu siku nyingine, huenda ikaponya ndoa yangu.Hahahahahahahaha, itabidi niongeze doziHuyo mke hana mzaha bali ni mkorofi tukuna wanawake wanapenda attention zetu kupitia ukorofi ukikasirika yeye ndio anaona raha
atleast ume respond kwa feelings zake. Sasa sio wote tunamudu huo ujinga!
Cha msingi mkomeshe kitandani umkaze kweli kweli kisha umwambie ukileta uchizi nakuongeza tena... Hio ndio adhabu nzuri na itakurahisishia kujua wakati ana mood ya kutafunwa.
HahahahahahahahaHahahaha ila mkeo nimempenda Bure....lakini kama unasali uongo asiseme jamani?....bila shaka husband utakuwa ni yake makabila yetu ya Kanda ya ziwa kurya....mana sio kwa hasira izo
Tunamtarajia kijana mwingine muda sio mrefu.Ongeza mtoto wa tatu mkuu,huyo dada hana tatizo,tatizo unalo wewe unacomplicate vitu vidogo vidogo..kiufupi una ghubu,tafta mtaalamu wa saikolojia atakusaidia
Papuchi hajawahi ninyimaKesi zingine za kitoto sana.
Me nilijua unanyimwa hata papuchi.
Nimelichukua hili, nitalifanyia kazi. Asante sana kwa muda wako, kwa kweri umeniongezea kituKama nimekuelewa vizur huyo mwanamke ana changamoto zake kadhaa...pamoja na kumtoa out kiume na kuongelea changamoto zenu faragha ...umesema anaomba msamaha kisha baadae anarudia tena.....umesema ameshaitwa kwao na kusemwa lkn bado Tu....naona chukulia huo ni kama udhaifu wake Tu.... Na hio wala sio sababu ya kumwacha huyo mkeo.
Ila hili la kuleta mdhaha ktk sala linasikitisha Sana na ulikuwa na haki ya kukasirika....huo sio utani Bali upumbavu ambao ameuonyesha mkeo.
Watu wamekusema Sana labda hujui utani na mambo kama hayo....lkn najua wewe ni mwanaume na sio mvulana....Kwa maana unajua huu sasa ni utani na huu ni mdhaha...siamini kama wewe ni mpumbavu kiasi kwamba ushindwe kujua utani na mdhaha....tatizo la mkeo ni kwamba Hana Busara hiyo ndio shida yake ndio maana analeta utani mpaka kwenye sala! Na Busara ni kuliweka jambo ktk mahala pake.....mkeo Hana Hilo.
Jitahidi kumuweka Sawa Kwa hekima Sana....Kwa mfano ukipita Mda Fulani Bila kukuletea mdhaha ebu mnunulie zawadi au mpe hela akajinunulie zawadi na mwambie kipenz huwa nafurahi Sana pale unapoacha mdhaha unanifanya nizidi kukupenda ebu kajinunulie chochote unachopenda.....jaribu kuangalia kama mbinu hii itafanya kazi.
Kuna utani na mdhaha....mdhaha sio utani unakera na ni kama dharau Fulani hivi.
Ila usifikirie kumuacha hata kidogo....hayo ni ya kawaida tofauti na usaliti
Hakuwahi kufanya anachofanya kifanya, ndio maana nikawa mwepesi kufunga naye ndoaMzaha hadi kwenye sala..hapana nakataaa.
Jamani tuwe wakweli
Hiyo ni mbaya zaidi.
Ila pia watu hawafanani
Kuna watu wako hivyo yaani ndobyo walivyo
Wewe hapo unatamani ungekua na mwanamke siriaz flan hivi
Ila mpaka mnaoana hukuona hayo yote?au alikua anaficha?
Sawa ushamuoa na hilo jambo unaona linakukera mpaka mwisho
Ongea nae tu kila mara maana ndo mshaoana tena.hamna namna.