Mke kachoma moto vyeti vya ndoa

Mke kachoma moto vyeti vya ndoa

Jibu alilonipa ni kuwa heye kwa sasa hana kumbukumbu zozote kuhusu ndoa alichoma moto kila kitu vyeti na picha, sasa hapo kisheria imekaaje maana nataka kuivunjilia mbali hii ndoa ili nianze upya?
Hiyo meseji aliyokujibu ndiyo certificate yako itunze kama una haja na vyeti basi hiyo itakulinda, anyway sijui wanafundishana wapi ila wanawake wengi huficha sana hivyo vyeti
 
Unaumiza kichwa bure tu!

Nenda msikiti wa karibu silimu oa mke wa pili tu,huyo wa owanza akija mwambie nimeongeza mke!akipiga makelele mwambie nenda kapewe talaka mahakamani!!

Usiumize kichwa dini zote zilikuja na maji!!
Aisee
 
Hamna ulazima wa kusilimu hata wa kuristo siku hizi huoa zaidi ya mke moja tena wanajuana, utii wa dini ya kikiriasto ulibaki kwa waumini masikini tu.
 
Hatari sana.

Hapo umeshapata sababu. Nenda baraza la kata wakupe barua kisha nenda mahakamani kavunje ndoa.

Hiyo sababu tu ya kuchoma moto cheti ambacho ni nyaraka ya serikali inamfanya hakimu avunje ndoa hiyo haraka
Na kumuongezea mashtaka iwapo itathibitika ni kweli alichoma
 
Eebwana eeh ndoa hizi ni nbaya kweli, huwa nahisi na naamini mapepo yote na majini yasiyo na makazi huwa yanakimbilia kuishi kwemye hizi pete zinazoitwa za ndoa.

Nilifunga ndoa ya kanisani kabisa kanisa la TAG, ila kwa sababu kadhaa ikiwemo maelewano mabovu na mwenzangu ndoa ikawa shimo la mateso kwa kila mmoja.

Tukabahatika kupata mtoto miaka ana miaka 5 sasa ila mwisho wa siku baaada ya taabu na mateso mengi mke akaamua kuondoka, na mimi nikakaza roho sikumfata ni mwaka wa 3 huu.

Sasa majuzi hapa nikasema ngoja nimtafute mwenzangu hatukuwa na mawadiliano ya maana kabla, cha kwanza akajibu vema na kwa adabu za kutosha nikamwambia sasa nadhani kila mmoja ashagundua kila kitu walp tulikuwa tunafeli.

Binafis natamani urudi ila kama utakuwa na mipango mingine huko sio mbaya tukapeana nafasi jumla, na kwa kuwa uliondoka na vyeti vya ndoa kama huna mpango wa kurudi shughulikia suala la taraka au kama huna muda nipatie mimi nishughulikie ili kila mmoja awe huru na kwa amani.

Jibu alilonipa ni kuwa heye kwa sasa hana kumbukumbu zozote kuhusu ndoa alichoma moto kila kitu vyeti na picha, sasa hapo kisheria imekaaje maana nataka kuivunjilia mbali hii ndoa ili nianze upya?
Wewe unateseka na nini ila kuna watu mnajitiaga hekaheka,saaa hujamtafuta miaka yote hiyo unategemea atakua ni yule yule,huoni hana hata muda wa kukuwaza na ni dhahiri ana mwanaume mwingine wewe umekazania vyeti vya ndoa hebu wanaume tuwe na uwanaume unakua kama mtoto aiseh
 
Nenda kanisa ulilofungia ndoa kumbukumbu zipo!
Muite kwenye baraza la usulihishi Kwa njia rasmi (kata)
Asipokuja au akija pia ikionekana IPO haja ya talakautaelewa fomu namba tatu, nenda mahakama ya mwanzo fungua shauri la kutaka kuachana/talaka.
Utapewa sumons ya kumwita na shauri litaendeshwa na mahakama itatoa talaka! Kumbuka kanisa haitambui talaka ya mahakama Kwa uzito huo. Sijui labda Kwa Tag Ili upate nafasi ya kuoa tena..
Pole sana
Kupita kanisani mambo yanakuwa mengi sana na kanisa kama kanisa wataishia kushauri tu hakuna kukubali muachane
 
Ndoa ni kwa wale wenye akili na utayari wa hitaji hilo.

Nyie wengine, kuweni watazamaji, hamtakii, ndo haya sasa. Lol

Poleeeni sana.
 
Eebwana eeh ndoa hizi ni nbaya kweli, huwa nahisi na naamini mapepo yote na majini yasiyo na makazi huwa yanakimbilia kuishi kwemye hizi pete zinazoitwa za ndoa.

Nilifunga ndoa ya kanisani kabisa kanisa la TAG, ila kwa sababu kadhaa ikiwemo maelewano mabovu na mwenzangu ndoa ikawa shimo la mateso kwa kila mmoja.

Tukabahatika kupata mtoto miaka ana miaka 5 sasa ila mwisho wa siku baaada ya taabu na mateso mengi mke akaamua kuondoka, na mimi nikakaza roho sikumfata ni mwaka wa 3 huu.

Sasa majuzi hapa nikasema ngoja nimtafute mwenzangu hatukuwa na mawadiliano ya maana kabla, cha kwanza akajibu vema na kwa adabu za kutosha nikamwambia sasa nadhani kila mmoja ashagundua kila kitu walp tulikuwa tunafeli.

Binafis natamani urudi ila kama utakuwa na mipango mingine huko sio mbaya tukapeana nafasi jumla, na kwa kuwa uliondoka na vyeti vya ndoa kama huna mpango wa kurudi shughulikia suala la taraka au kama huna muda nipatie mimi nishughulikie ili kila mmoja awe huru na kwa amani.

Jibu alilonipa ni kuwa heye kwa sasa hana kumbukumbu zozote kuhusu ndoa alichoma moto kila kitu vyeti na picha, sasa hapo kisheria imekaaje maana nataka kuivunjilia mbali hii ndoa ili nianze upya?
Kuchoma moto vyeti vya ndoa haimaanishi havipo, kachoma copy tu
Nenda kanisani mlipofunga ndoa mara nyingi wana records

In the eyes of the law bado mnatambulika ni vema ukafuatilia deep zaidi
 
Eebwana eeh ndoa hizi ni nbaya kweli, huwa nahisi na naamini mapepo yote na majini yasiyo na makazi huwa yanakimbilia kuishi kwemye hizi pete zinazoitwa za ndoa.

Nilifunga ndoa ya kanisani kabisa kanisa la TAG, ila kwa sababu kadhaa ikiwemo maelewano mabovu na mwenzangu ndoa ikawa shimo la mateso kwa kila mmoja.

Tukabahatika kupata mtoto miaka ana miaka 5 sasa ila mwisho wa siku baaada ya taabu na mateso mengi mke akaamua kuondoka, na mimi nikakaza roho sikumfata ni mwaka wa 3 huu.

Sasa majuzi hapa nikasema ngoja nimtafute mwenzangu hatukuwa na mawadiliano ya maana kabla, cha kwanza akajibu vema na kwa adabu za kutosha nikamwambia sasa nadhani kila mmoja ashagundua kila kitu walp tulikuwa tunafeli.

Binafis natamani urudi ila kama utakuwa na mipango mingine huko sio mbaya tukapeana nafasi jumla, na kwa kuwa uliondoka na vyeti vya ndoa kama huna mpango wa kurudi shughulikia suala la taraka au kama huna muda nipatie mimi nishughulikie ili kila mmoja awe huru na kwa amani.

Jibu alilonipa ni kuwa heye kwa sasa hana kumbukumbu zozote kuhusu ndoa alichoma moto kila kitu vyeti na picha, sasa hapo kisheria imekaaje maana nataka kuivunjilia mbali hii ndoa ili nianze upya?
Usisikilize huo upuuzi wa kuwa alichoma cheti.

Ole wako upate hela, atarudi na utashangaa cheti cha ndoa anacho au nakala yake. Kila unachokipata sasa mtagawana.
 
mbona mnatutisha jamaniii
Mimi naolewa siwezi acha kisa wajinga wanaolewa wanaacha ndoa zao kwa ajili ya umalaya wanawake wengi nimalaya sasa wakishaona mahali wamepazoea wanaenda kwingine ukiacha filamu za jua kali na huba wanandoa wanaongoza kwa ngono zembee il kwa ukweli hadi mitaani wao ndio malaya hawajali ndoa ni heshima .

Nakujitolea na uvumilivu na kuwa na kifua .
 
Back
Top Bottom