Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 12,859
- 24,235
Dada samahani ety ukumbi wa mawela sinza uko wapi naelekea harusini nadhani nimepotea njia,
KabisaUmalaya na kujiona
Nimesafiri usiku zile gari za usiku niliona maajabu watu wanapete wote nasio waoendanao wanakulana kwenye gari eti wamekutana wapendanaKabisa
Hatari sana ndoa ndoano.Eebwana eeh ndoa hizi ni nbaya kweli, huwa nahisi na naamini mapepo yote na majini yasiyo na makazi huwa yanakimbilia kuishi kwemye hizi pete zinazoitwa za ndoa.
Nilifunga ndoa ya kanisani kabisa kanisa la TAG, ila kwa sababu kadhaa ikiwemo maelewano mabovu na mwenzangu ndoa ikawa shimo la mateso kwa kila mmoja.
Tukabahatika kupata mtoto miaka ana miaka 5 sasa ila mwisho wa siku baaada ya taabu na mateso mengi mke akaamua kuondoka, na mimi nikakaza roho sikumfata ni mwaka wa 3 huu.
Sasa majuzi hapa nikasema ngoja nimtafute mwenzangu hatukuwa na mawadiliano ya maana kabla, cha kwanza akajibu vema na kwa adabu za kutosha nikamwambia sasa nadhani kila mmoja ashagundua kila kitu walp tulikuwa tunafeli.
Binafis natamani urudi ila kama utakuwa na mipango mingine huko sio mbaya tukapeana nafasi jumla, na kwa kuwa uliondoka na vyeti vya ndoa kama huna mpango wa kurudi shughulikia suala la taraka au kama huna muda nipatie mimi nishughulikie ili kila mmoja awe huru na kwa amani.
Jibu alilonipa ni kuwa heye kwa sasa hana kumbukumbu zozote kuhusu ndoa alichoma moto kila kitu vyeti na picha, sasa hapo kisheria imekaaje maana nataka kuivunjilia mbali hii ndoa ili nianze upya?
Na sisi tufanye tusafiri wote 😬Nimesafiri usiku zile gari za usiku niliona maajabu watu wanapete wote nasio waoendanao wanakulana kwenye gari eti wamekutana wapendana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imeisha hiyo
Hakuna ndoa sikuhizi,yanateseka yamedindisha!
Hawajui wanawake huyu.Usisikilize huo upuuzi wa kuwa alichoma cheti.
Ole wako upate hela, atarudi na utashangaa cheti cha ndoa anacho au nakala yake. Kila unachokipata sasa mtagawana.
umesema vemaMimi naolewa siwezi acha kisa wajinga wanaolewa wanaacha ndoa zao kwa ajili ya umalaya wanawake wengi nimalaya sasa wakishaona mahali wamepazoea wanaenda kwingine ukiacha filamu za jua kali na huba wanandoa wanaongoza kwa ngono zembee il kwa ukweli hadi mitaani wao ndio malaya hawajali ndoa ni heshima .
Nakujitolea na uvumilivu na kuwa na kifua .
Fika kwanza Sinza Vatican. Sinza ile ya Njia ya Tandale. Ukifika hapo mawela utafikaDada samahani ety ukumbi wa mawela sinza uko wapi naelekea harusini nadhani nimepotea njia,
Ndiyo nimeingia na barabara ya Tandale nafika mkomilo au ni nyuma ya hapo 🤔Fika kwanza Sinza Vatican. Sinza ile ya Njia ya Tandale. Ukifika hapo mawela utafika
Ndiyo nimeingia na barabara ya Tandale nafika mkomilo au ni nyuma ya hapo 🤔
Aisee hii ilikaribia kunitokea, nilienda mkoa kikazi nikamuacha mama watoto wangu mjamzito pia. Siku moja si tukakorofishana, akasema nachoma kila kitu chako na vyeti vyako vyote nachoma hukuti kitu. Nilichanganyikia ikabidi niombe msaada kwa mama mkwe amsihi mwanae asichime vyeti.Nadhani angechoma vya chuo ungenena kwa lugha
Olewa achana na hao walioshindwa kuwa na akili nautaratibu waoumesema vema
Nkipata ntaolewaOlewa achana na hao walioshindwa kuwa na akili nautaratibu wao
We mwenyewe unamuendekeza ndio maana anakupanda kichwani,angekuwa anajua kunakutenguliwa kiuno asingethubutuAisee hii ilikaribia kunitokea, nilienda mkoa kikazi nikamuacha mama watoto wangu mjamzito pia. Siku moja si tukakorofishana, akasema nachoma kila kitu chako na vyeti vyako vyote nachoma hukuti kitu. Nilichanganyikia ikabidi niombe msaada kwa mama mkwe amsihi mwanae asichime vyeti.
Nashukuru alichoma nguo tu na baadhi ya viti havikiwa na umuhimu sana, hatari sana.