Mke jamani

Mke jamani

aisee hii kweli digitali aisee yaani mtu anatafuta mke kama vile anaagiza gari kutoka nagatomo japan aisee nimeipenda hii hivi kwa nini na hii isiingizwe kwenye katiba mpya? eeeeeh jamani
 
Nakweli kaka charge inaisha kila cku@ennie,lakini chaajabu wanakuja wazee walio nizi umri tu,hii kazi kwelikweli, mkuu
 
Soon ntapungiza vigezo DEMBA,ila cha wembamba siwezi kutoa,mnene atanivunja mbavu coz mm mwenyewe mode.,ha haaa!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ila hapo kweli sheba@Sheba,totozi wa mbeya wameshiba lkn hata wembamba wapo,weupe warefu wapo,mtwara ndo hakuna warefu mkuu mbeya wapo
 
Awe mwalimu au nesi yani Amesomea na ameajiliwa,umri 18-23,mweupe sio wa mikorogo,mkristo,awe anatokea mkoa wa Mbeya,mwembamba wastani,mrefu angalau ft 5.4na kuendelea awe mzuri wastani,ukiwa mzuri sna utanipa presha.na ajue kwamba hata jutia hata siku moja kuwa na mm,call 0766228346
.God bless me for this

very interesting,ukimpata uje utoe ushuhuda mdau
wanyakyusa naskia wana heshima sana,
me bado nahisi ndoto kupata mke via mtandao
 
Wanawake wamejaa hivi mkuu unashindwa kuwapata? Nenda hata mtaa wa uhuru leo utachagua kama vile unachagua nyanya kisha utatongoza kisha kupima ngoma kisha unakandamiza ukiridhika na injini unafanya timing ya mimba akikubali kuzaa unatangaza ndoa soon akichomoa mimba unapiga chini.Mbona wanawake ni kama watoto tu! Unadanganya tuu! Hapa utampata tapeli mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom