Nipo serious sana katika hili, nahitaji mwanamke atakaye kuwa mke wa maisha yangu

jk_watatu

Member
Mar 20, 2022
31
31
Hii ni kwa wanawake tuu yani wanaume haiwahusu:

Nahitaji mwanamke ambaye mungu akipenda ndiye atakuwa mke wangu. Njoo pm kama ni muhitaji nitumie sms huko tukielewana utapata namba zangu za simu nami nitapata zako.

Sifa zangu:
Dini: Mkristo
Umri:35
Elimu: chuo kikuu(masters)
Kazi: Ni muajiliwa (government)pia ni mfanya biashara.
Ninako ishi: Dar es salaam.
Muonekano wangu: Si mnene wala si mwembamba sana, si mweusi wala mweupe sana.

Sifa za nimtakae:
Dini: yoyote
Umri: 18 - 50
Elimu: Kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
Kazi: Awe ameajiliwa au kajiajili.
Anako ishi: Iwe popote ila ukiwa Dar es salaam itapendeza.
Muonekano wake: Awe anajipenda, msafi mwenye adabu, heshima na utii.

NB: awe tayari kupima afya.
Naamini kuna wengine watadharau na kukejeri ila ninacho amini mke au mume mwema anatoka kwa Mungu na Mungu humpa mtu kwa njia yoyote ile hivyo hata hapa ni njia tu na ninaweza mpata mwenza wangu.
 
Hii ni kwa wanawake tuu yani wanaume haiwahusu:

Nahitaji mwanamke ambaye mungu akipenda ndiye atakuwa mke wangu. Njoo pm kama ni muhitaji nitumie sms huko tukielewana utapata namba zangu za simu nami nitapata zako.

Sifa zangu:
Dini:mkristo
Umri:35
Elimu: chuo kikuu(masters)
Kazi: Ni muajiliwa (government)pia ni mfanya biashara.
Ninako ishi: Dar es salaam.
Muonekano wangu: Si mnene wala si mwembamba sana, si mweusi wala mweupe sana.

Sifa za nimtakae:
Dini:yoyote
Umri: 18 - 50
Elimu: Kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
Kazi: Awe ameajiliwa au kajiajili.
Anako ishi: Iwe popote ila ukiwa dar es salaam itapendeza.
Muonekano wake: Awe anajipenda, msafi mwenye adabu, heshima na utii.

N:b awe tayari kupima afya.
Naamini kuna wengine watadharau na kukejeri ila ninacho amini mke au mume mwema anatoka kwa mungu na mungu humpa mtu kwa njia yoyote ile hivyo hata hapa ni njia tuu na ninaweza mpata mwenza wangu
Ngoja nije Pm tuyajenge mkuu
 
Nakuombea upate hitaji la moyo wako. Lakini hapo kwenye dini jitahidi mno upate wa imani yako.. Hii itakupunguzia sana vita na mivutano ya kiroho hasa litakapokuja suala la kuabudu
Hili jambo mtu anaweza kulichukulia kama masihara hivi! Ila kiukweli linanivuruga sana kwa upande wangu. Katika umri wangu wa utu uzima, nikaona nipitie njia za swahiba wangu Lyatonga! Maana historia yake na yangu zinafanana!

Naanzisha urafiki na mwanamke wa imani nyingine, namshauri ahamie kwenye imani yangu ili maisha yaendelee! Analeta vikwazo. Na ukichukulia imani yangu yenyewe ni ya Kikatoliki! Yaani inapigwa mawe kila upande!

Hakika nimebakia njia panda.
 
Usitafute vita itakayokuondoa mapema sana .. Kiroho hizi imani mbili ni falme mbili zinazokinzana mno.. Kama unampenda sana ishini bila ndoa mtakuwa salama ...ni ushauri mbaya lakini ndio tiba sahihi
 
Nitaufanyia kazi huu ushauri.
 
Hii ni kwa wanawake tuu yani wanaume haiwahusu:

Nahitaji mwanamke ambaye mungu akipenda ndiye atakuwa mke wangu. Njoo pm kama ni muhitaji nitumie sms huko tukielewana utapata namba zangu za simu nami nitapata zako.

Sifa zangu:
Dini:mkristo
Umri:35
Elimu: chuo kikuu(masters)
Kazi: Ni muajiliwa (government)pia ni mfanya biashara.
Ninako ishi: Dar es salaam.
Muonekano wangu: Si mnene wala si mwembamba sana, si mweusi wala mweupe sana.

Sifa za nimtakae:
Dini:yoyote
Umri: 18 - 50
Elimu: Kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
Kazi: Awe ameajiliwa au kajiajili.
Anako ishi: Iwe popote ila ukiwa dar es salaam itapendeza.
Muonekano wake: Awe anajipenda, msafi mwenye adabu, heshima na utii.

N:b awe tayari kupima afya.
Naamini kuna wengine watadharau na kukejeri ila ninacho amini mke au mume mwema anatoka kwa mungu na mungu humpa mtu kwa njia yoyote ile hivyo hata hapa ni njia tuu na ninaweza mpata mwenza wangu
Hapo kwenye elimu sasa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom