Mke jamani

Mke jamani

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
449
Reaction score
140
Awe mwalimu au nesi yani Amesomea na ameajiliwa,umri 18-23,mweupe sio wa mikorogo,mkristo,awe anatokea mkoa wa Mbeya,mwembamba wastani,mrefu angalau ft 5.4na kuendelea awe mzuri wastani,ukiwa mzuri sna utanipa presha.na ajue kwamba hata jutia hata siku moja kuwa na mm,call 0766228346
.God bless me for this
 
Utandawazi huu safi sana,yaani unaweka tangazo la kutafuta mke na unaacha number ya simu,hii dunia inaenda kwa kasi sana kiteklonojia,ndio maana na mapenzi nayo yamekuwa ya kiteklonojia sana,ndoa hazidumu,zimekuwa za kisanii,nawaza wazazi wetu walivyokuwa wanapata wakina mama zetu,kweli maisha hatuwezi kuya rewind.
 
Hatuwezi kaka zamani itabaki kuwa zamani,sisi digital tena kizazi kilicho laniwa,usishangae kuona mtoto mdogo miaka 15... Lakini ana wanume ambao hiwezi kuamini kama kweli yeye ndo anamiliki,lakn yote kwayote,tunapaswa kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.
 
Lakini tuache utani nakutakia kila la kheri kwenye hili zoezi ulilo nalo sasa,tunakuombea upate mke mwema,
 
Kwa kwel atuambie nani kaingia ndoani..tumuombee awe mke mwema
 
Awe mwalimu au nesi yani Amesomea na ameajiliwa,umri 18-23,mweupe sio wa mikorogo,mkristo,awe anatokea mkoa wa Mbeya,mwembamba wastani,mrefu angalau ft 5.4na kuendelea awe mzuri wastani,ukiwa mzuri sna utanipa presha.na ajue kwamba hata jutia hata siku moja kuwa na mm,call 0766228346
.God bless me for this

awe ametokea mbeya halafu awe mweupe? labda weupe wa mkorogo
 
Elieza weka picha yako mimi mwenyewe nlimpata mke wangu hapa hapa sema niliweka tangazo na picha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom