Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Khaaaaahhhhhh!!!!!!!!
Unataka "vagi" eeehhhh????????
Ngoja waje!!!!!!
hahahaaa mi nakaa pembeni
Khaaaaahhhhhh!!!!!!!!
Unataka "vagi" eeehhhh????????
Ngoja waje!!!!!!
Aaaa nimefurai sna kwa hoja zenu,kwali hili jukwaa tunathaminiana sana,yani nimebaki nacheka na kufurai,Mungu awabariki sana wote mlio changia kwa kunishauri na mengine mengi,wamachame wanatisha eeee!"hiyonzuri tuko pamoja ndugu zangu
kwani DEMBA na Lady doctor mbeya hamna wembamba? Unataka niambia haiwezekani miss kutokea mbeya?
Mkiborena mnaachana ki JF JF dunia raha kamwe hapa huwezi kuwa na mapenziUtandawazi huu safi sana,yaani unaweka tangazo la kutafuta mke na unaacha number ya simu,hii dunia inaenda kwa kasi sana kiteklonojia,ndio maana na mapenzi nayo yamekuwa ya kiteklonojia sana,ndoa hazidumu,zimekuwa za kisanii,nawaza wazazi wetu walivyokuwa wanapata wakina mama zetu,kweli maisha hatuwezi kuya rewind.
Rangi hapa lazima inunuliwe....wembamba ngumu sana itakuwa siyo product halisi kutoka mbeya!mwenzangu si ndio nimeshangaa rangi nyeupe mbeya siyo kihivyo sana
naomba mechi ya kirafiki basii
Mbeya hakuna whitish?awe ametokea mbeya halafu awe mweupe? labda weupe wa mkorogo
Kesha shindwa huyo!!! anapenda vizuri huku ye bahili..
Khaaaaahhhhhh!!!!!!!!
Unataka "vagi" eeehhhh????????
Ngoja waje!!!!!!
Aaaa nimefurai sna kwa hoja zenu,kwali hili jukwaa tunathaminiana sana,yani nimebaki nacheka na kufurai,Mungu awabariki sana wote mlio changia kwa kunishauri na mengine mengi,wamachame wanatisha eeee!"hiyonzuri tuko pamoja ndugu zangu
Watani zangu hawa hawaniwezi. Ukiwaambia ukweli hawanaga tabu