Mke au Mama mzazi..... . . . .

MagicM

Member
Sep 19, 2011
80
7
Kesho ni jumamoc nataman mida ya jion kuwatoa mke na mama yng mzazi na nta2mia gari yang je nan atatakiwa kukaa mbele kati ya mama yang na mke wang. . . . ? ? ?
 
Hivi kukaa mbele maana yake ni heshima au?

Maana naona wanaokodi taxi hawakai mbele, maraisi hawakai mbele eti mbele ni kwa co driver!

Mkeo ni co driver, mama yako ni muheshimiwa; it depends na aina ya Gari lkn; isije ikawa pick up halafu umkalishe muheshimiwa nyuma.
 
sasa na hili unaomba ushauri?

kwa mm yeyote anakaa popote bora mfike,
kwani kukaa mbele ni heshima? kwa mtu ambae hajiamini ndo atacomplicate
 
kwani anayekukalia mbele huwa nani?

Huyo huyo akae mbele ya gari, tena kule kwenye boneti ndio mbele zaidi awahi kufika.
 
mwache mke aendeshe hivyo wee itakuwa must tui kukaa mbele....simple as that au wee hupendi kuenddshwa na mke wako?
 
Kwani wewe ndio konda...unawapanga watu wakipanda kwenye gari yako? Waache wenyewe watajijua.
 
Hivi kukaa mbele maana yake ni heshima au?

Maana naona wanaokodi taxi hawakai mbele, maraisi hawakai mbele eti mbele ni kwa co driver!

Mkeo ni co driver, mama yako ni muheshimiwa; it depends na aina ya Gari lkn; isije ikawa pick up halafu umkalishe muheshimiwa nyuma.

well said
 
mkeo akae mbele

mama yako akae nyuma. . . halafu kama wanajitambua nafasi zao wala usingepata taabu kuuliza!
 
Hii kitu ni serious sana wakuu...kwa familia zetu za kibongobongo...
Kuna jamaa yangu alijikuta katikati ya ugomvi mkubwa kati ya mke na mama.
Nani akae wapi hamna wa kuwapangia, yategemea matarajio ya familia yako. Kama mama anadhani ni heshima kwake na haki yake kukaa siti fulani, ni vema mke akajifunza kukubali.....kuepusha magomvi yasiyo na maana.
Utii wa ukaaji bila shurti......
 
hili nishaliwazaga,una gari 2 seater,uko na wife,mvua inanyesha.....unamkuta mama yako mzazi anakimbia,mvua inamnyeshea,,,,utachukua hatua gani?
 
hili nishaliwazaga,una gari 2 seater,uko na wife,mvua inanyesha.....unamkuta mama yako mzazi anakimbia,mvua inamnyeshea,,,,utachukua hatua gani?
Vyovyote iwavyo, kwangu mimi Mama kwanza mwingine/wengine wote baadaye! Acheni kujifanya hamjui nani alitangulia kati ya Mama na Mke, huo utakuwa ni upuuzi wa hali ya juu!
 
kama mamako ni mama mwenye tamadun za ktz, atakaa nyuma, ila kama ni mama wa mjin kamwe awez kubal kaa nyuma....kasheshe mama awe wa town na mke awe cstaaduu. Lazma wagombanie ct
 
Hii kitu ni serious sana wakuu...kwa familia zetu za kibongobongo...
Kuna jamaa yangu alijikuta katikati ya ugomvi mkubwa kati ya mke na mama.
Nani akae wapi hamna wa kuwapangia, yategemea matarajio ya familia yako. Kama mama anadhani ni heshima kwake na haki yake kukaa siti fulani, ni vema mke akajifunza kukubali.....kuepusha magomvi yasiyo na maana.
Utii wa ukaaji bila shurti......
mi nikionaga hali fulani huwa najidai "mama wewe kaa hapo mbele mimi nikae huku na watoto, watakusumbua" wakati watoto wangu huwa wanajikaliaga peke yao nyuma na wala hawana shida.
kuna wamama wanaona ni haki yao kukaa mbele kwenye gari la watoto wao. Ukweli mimi hainipi shida kukaa sehemu yoyote, kwanza napendelea siti ya nyuma ili nishangae vizuri, maana hakuna ku co-drive, lol
 
Back
Top Bottom