Mke au Mama mzazi..... . . . .

DUH HAPO LAZIMA PALICHIMBIKA I SEE!ila najua kuna kina mama wakwe wengine ni wakorofi saana,kuna dadaangu kila akisikia mama mkwe anatoka mkoa kuja dar anajua kero zimeanza yani anajua ndoa mwanzo wa kuamrishwa kuanzia channel ya kuangalia mpa muda wa kukaa na mumewe!
ha haaaaaaaaaaaaaa, kaazi kweli............... chanel ya kuangalia hainipi shida, yeye anatoka mkoa so mwache aangalie TV mpaka hamu yake iishe, atagombana na wajukuu tu watakapotaka kuangalia cartoon zao ambazo bibi hazipandi, hapo mimi chumbani au jikoni.
kuhusu muda wa kukaa na mume wangu...................... dah! huyo mama mkwe kiboko..............
 
we nakwambia dada yangu kila akitembelewa na maam mkwe wake ni simu za vilio tu,af mume wake ndo miongoni mwa wale wenye zile za kutoka kazini na kuwafuata mama zao chumbani,basi huko wanaongea weeee mpaka chakula mezani kinapoa,yani huwa tunamuonea huruma kwa kweli!lakini ndio hivyo tena kina mama wengine na watoto wao wa kiume!
 
si amwambie mume? kama mimi nitakuwa naenda kuwakumbusha chakula kinapoa kila baada ya sekunde 2 tena ikiwezekana nawasimamia hapo mpaka watoke ndo na mimi nafunga mlango naondoka.
mume wa hivyo simtaki hata kidogo, lol!
 
ahahahahahahhahahahahahah wala sio masikhara lazima uwasimamie mlangoni,dada yangu ni mtaratibu sana yani ile typical adabu za kingoni kupitiliza!basi ndo anagugumia ndani kwa ndani,mi linanikera hili lakini sina uwezo wa kuingilia ya ndani kiasi hicho after all si unajua tena shemeji wa dada yako ni tofauti na wa mdogo wako enh!imagine mtu amemuoa dada yetu tukiwa form six sijui,ssa hatuwezi kuingilia ,ndo hivyo tena basi tunabaki kuuumia tu pamoja nae maana hyo mama akitinga kwa dada angu anapanga mpka menu za kula mwanae,dadaangu akirudi kutoka kazini anakuta vimendaliwa mezani na mume wala halalamiki anajionea sawa,excuse eti mama yake atakuwa anamkumbuka tu ndio mke aelewe tu!
 
heshima za kingoni indeed!
kwani menu ya mwanae ni tofauti na za watu wengine? kama kwangu mimi menu ni moja nyumba nzima, mama mkwe akifanya hivyo atakuwa kanisaidia sana kupanga menu, maana sometimes kichwa kinauma kuwaza watu wale nini. lakini kama anapanga ya mwanae tu, atajua kuwa pale yeye ni mgeni........................
 
chezeya dada langu wewe!maji atayataftia jina la kingoni hata kama ye mchaga!
 
Back
Top Bottom