BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Mkuu Fixed Point umeongea point kubwa sana. Wake wengine huridhia mama mkwe, baba mkwe, shemeji, wifi na hata rafiki akae mbele. Ukiridhia hakuna tatizo ila kama mke anataka kukaa mbele basi anastahili kukaa mbele.
mi nikionaga hali fulani huwa najidai "mama wewe kaa hapo mbele mimi nikae huku na watoto, watakusumbua" wakati watoto wangu huwa wanajikaliaga peke yao nyuma na wala hawana shida.
kuna wamama wanaona ni haki yao kukaa mbele kwenye gari la watoto wao. Ukweli mimi hainipi shida kukaa sehemu yoyote, kwanza napendelea siti ya nyuma ili nishangae vizuri, maana hakuna ku co-drive, lol
Last edited by a moderator: