Mke au Mama mzazi..... . . . .

Mke au Mama mzazi..... . . . .

mmmh wanaume wa siku hizi mna mambo!! yaani hata hilo kwenu ni tatizo??

sawa mimi sioni kama kukaa mbele kwenye gari au nyumba kwangu ni ishu kiviiiiiiiiile japo sijataka kuuliza kama angekua mamayangu na yeye angefkiriwa kukaa mbele au nyuma na je kaka baba yako mzazi angekuepo ungewaweka wote mbele au ungechagua mmoja wa kukaa nae mbele!!

Ila kama mamamkwe anapenda kukaa mbele ntamwachia kwa roho nyeupeeeeee ili mradi tu na nyumbani asitake kutawala chumba changu-aishie hapohapo kwenye kiti cha gari isije ikiwa hatua ya kunivurugia starehe
 
wewe tena usiombe kukutana na huyo mama vuruguvurugu, hali itakuwa mbaya......................... kuna wamama hawajui mipaka yao, wao wanadhani ni watawala kila wanakoenda. kila siku naimbaga na mama yangu, chonde chonde, huyo mdogo wetu akioa usilete drama kwenye familia yake............ sisi mawifi ndo kabisaaaaaaaaaaaaaa, yaani tunamsubiri huyo wifi kwa hamu tum-spoil, lol!
ha haa napata hiyo taswira FP....
 
mwache mke aendeshe hivyo wee itakuwa must tui kukaa mbele....simple as that au wee hupendi kuenddshwa na mke wako?

Hii ni nzuri sana itaondoa utata wa mama kuona amedharauliwa! Gud idea hata mimi nitaifanyia kazi.
 
Kama vipi mama akae mbele wakati wa kuenda na mkeo wakati wa kurudi yaani zamzam.Ila ningekuwa mimi ningejizungusha ila wajipange wenyewe.
 
Asante platozoom. wakati wengine wanajitahidi kujibadilisha toka uafrika kwenda uzungu, ngoja wengine tubaki ili tujitahidi kuendeleza tamaduni zetu zinazokaribia kupotea

kamwali yewo!za magono!ngati lenyee sredi hili utuwakilishe bwena kweli mlongo wangu!mi nakaa na mama mkwe wangu mwaka wa 8 huu!na maisha mswano tu!
 
Kesho ni jumamoc nataman mida ya jion kuwatoa mke na mama yng mzazi na nta2mia gari yang je nan atatakiwa kukaa mbele kati ya mama yang na mke wang. . . . ? ? ?

Kitandani kwako huwa unalala na mkeo au na mamaako?
 
kamwali yewo!za magono!ngati lenyee sredi hili utuwakilishe bwena kweli mlongo wangu!mi nakaa na mama mkwe wangu mwaka wa 8 huu!na maisha mswano tu!
hongera mlongo wangu, kutama na mama mkwe wiki mbili tu lihengu livaha sana, miaka 8! big up my dear. ila ukijua nafasi yako kwenye nyumba, wala haisumbui kabisa
 
wewe tena usiombe kukutana na huyo mama vuruguvurugu, hali itakuwa mbaya......................... kuna wamama hawajui mipaka yao, wao wanadhani ni watawala kila wanakoenda. kila siku naimbaga na mama yangu, chonde chonde, huyo mdogo wetu akioa usilete drama kwenye familia yake............ sisi mawifi ndo kabisaaaaaaaaaaaaaa, yaani tunamsubiri huyo wifi kwa hamu tum-spoil, lol!

Hayo mambo yanatokea kwenye nyumba za wanaume dhaifu. Ukija nyumbani kwangu kila mtu anajua nafasi yake. Mama yangu asipojiheshimu nitamfundisha kujiheshimu na mke wangu akikengeuka namuweka sawa asap.

Mnaanza kuwaruhusu kukaa mbele kwenye gari, kesho wanauliza sababu ya kutozaa mtoto wa kiume.

Maisha ya ndoa yanapaswa kuwa ya furaha. Mama mkwe asibughudhi binti wa watu kwenye maisha yake. Ye ujana wake aliutumia huko asiwe kikwazo cha furaha kwenye familia ya mtu mwingine.
 
hongera mlongo wangu, kutama na mama mkwe wiki mbili tu lihengu livaha sana, miaka 8! big up my dear. ila ukijua nafasi yako kwenye nyumba, wala haisumbui kabisa

mwanzo ilikuwa kazi ila nashukuru Mungu alinielewa mapema sana,kwa hiyo akajiweka kwenye nafasi ya watoto wetu yani maisha yakawa vizuri tu!mi mpka najisahau saa nyingine kuwa ni mkamwana its like niko na mama yangu mzazi i see!
 
Hayo mambo yanatokea kwenye nyumba za wanaume dhaifu. Ukija nyumbani kwangu kila mtu anajua nafasi yake. Mama yangu asipojiheshimu nitamfundisha kujiheshimu na mke wangu akikengeuka namuweka sawa asap.

Mnaanza kuwaruhusu kukaa mbele kwenye gari, kesho wanauliza sababu ya kutozaa mtoto wa kiume.

Maisha ya ndoa yanapaswa kuwa ya furaha. Mama mkwe asibughudhi binti wa watu kwenye maisha yake. Ye ujana wake aliutumia huko asiwe kikwazo cha furaha kwenye familia ya mtu mwingine.
c'mon Las, what is kukaa mbele kwenye gari? hilo nalo ni swala la kugombana na mama mkwe? yaani nikikaa nyuma ndo naonekana dhaifu ambaye siwezi kujitetea mbele ya mama mkwe?
 
wife mbele aisee!!!
Kesho ni jumamoc nataman mida ya jion kuwatoa mke na mama yng mzazi na nta2mia gari yang je nan atatakiwa kukaa mbele kati ya mama yang na mke wang. . . . ? ? ?
 
mwanzo ilikuwa kazi ila nashukuru Mungu alinielewa mapema sana,kwa hiyo akajiweka kwenye nafasi ya watoto wetu yani maisha yakawa vizuri tu!mi mpka najisahau saa nyingine kuwa ni mkamwana its like niko na mama yangu mzazi i see!
nakuambia, hata kukaa na mama mzazi miaka yote hiyo unahitaji pongezi, kuna wengi tu nimewashuhudia wameshindwa kabisa kukaa na mama zao wazazi.
 
c'mon Las, what is kukaa mbele kwenye gari? hilo nalo ni swala la kugombana na mama mkwe? yaani nikikaa nyuma ndo naonekana dhaifu ambaye siwezi kujitetea mbele ya mama mkwe?

Let's talk about modern life. Mimi nikiendesha gari napenda nimuone mke wangu hapo pembeni so does she. Tumezoea hivyo na haki yetu. Leo aje mama yangu toka kijijini amkoseshe raha mke wangu, we!

Kama wife hana shida na hilo sawa, lkn isiwe kwamba eti wife keshakaa halafu mama aje ilazimike wife ashuke kumpisha.

Nashukuru Mungu mamaangu ni mtu na adabu zake. Hata yeye hupenda kukaa nyuma na mjukuu wake wapite wakitaniana njia nzima

Mimi sikusema ushindane na mama mkwe, inapaswa mumeo aliangalie hilo
 
nakuambia, hata kukaa na mama mzazi miaka yote hiyo unahitaji pongezi, kuna wengi tu nimewashuhudia wameshindwa kabisa kukaa na mama zao wazazi.

wala si uongo dadangu!ila mi nafikiri imekuwa bahati tu manake hata wanae wenyewe wa kike huwa hawaamini kuwa mama yao ndio yule wanayemjua!manake utaskia ''ah we ndo unamuwezea mama ako,nenda kamwambie kitu hiki"yani huwa nacheka sana,na hajawahi kukaa kwa wifi zangu muda mrefu hata akienda wakiwa wamejifungua hamalizi hata mwezi karudi kwangu,mwanzo sikuwa naielewa sana lakini siku hizi nimeshaona ni kawaida,kuna kipindi nilipata kazi nikiwa na mtoto wa mwaka,ilikuwa ni temp ya research af inalipa ile mbya,unajua aliniambia niende nimuache mtoto wangu!akahamia chumbani kwake na akawa anamlea vizuri tu,!wakati mwingine nafkiri ni Heaven sent mi mama yangu alifariki nikiwa binti sana,so nafkiri Mungu ameniwekea mama yangu katika huyu mama my dear!
 
Let's talk about modern life. Mimi nikiendesha gari napenda nimuone mke wangu hapo pembeni so does she. Tumezoea hivyo na haki yetu. Leo aje mama yangu toka kijijini amkoseshe raha mke wangu, we!

Kama wife hana shida na hilo sawa, lkn isiwe kwamba eti wife keshakaa halafu mama aje ilazimike wife ashuke kumpisha.

Nashukuru Mungu mamaangu ni mtu na adabu zake. Hata yeye hupenda kukaa nyuma na mjukuu wake wapite wakitaniana njia nzima

Mimi sikusema ushindane na mama mkwe, inapaswa mumeo aliangalie hilo
wewe shukuru Mungu una mama ana adabu zake. unafikiri ungekuwa na mama anapenda kukaa mbele ungemshusha ili mkeo akae?
na wakati mwingine mama anataka kukaa mbele siyo kwamba hamuheshimu mkeo ila yeye anaona ufahari kukaa mbele kwenye gari la mwanae.
 
wala si uongo dadangu!ila mi nafikiri imekuwa bahati tu manake hata wanae wenyewe wa kike huwa hawaamini kuwa mama yao ndio yule wanayemjua!manake utaskia ''ah we ndo unamuwezea mama ako,nenda kamwambie kitu hiki"yani huwa nacheka sana,na hajawahi kukaa kwa wifi zangu muda mrefu hata akienda wakiwa wamejifungua hamalizi hata mwezi karudi kwangu,mwanzo sikuwa naielewa sana lakini siku hizi nimeshaona ni kawaida,kuna kipindi nilipata kazi nikiwa na mtoto wa mwaka,ilikuwa ni temp ya research af inalipa ile mbya,unajua aliniambia niende nimuache mtoto wangu!akahamia chumbani kwake na akawa anamlea vizuri tu,!wakati mwingine nafkiri ni Heaven sent mi mama yangu alifariki nikiwa binti sana,so nafkiri Mungu ameniwekea mama yangu katika huyu mama my dear!
hongera dear, endelea kujitahidi naye.
kuna dada mmoja siku alimwita mama mkwe mzigo, mbele ya kikao cha ndugu wa mume "jamani akina shemeji naombeni na mimi mnisaidie huu mzigo, nimechoka" ha haaaaaaaaaaaaaaa, kaazi kweli
 
DUH HAPO LAZIMA PALICHIMBIKA I SEE!ila najua kuna kina mama wakwe wengine ni wakorofi saana,kuna dadaangu kila akisikia mama mkwe anatoka mkoa kuja dar anajua kero zimeanza yani anajua ndoa mwanzo wa kuamrishwa kuanzia channel ya kuangalia mpa muda wa kukaa na mumewe!
 
Back
Top Bottom