Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,790
- Thread starter
- #41
😂😂 kwahy kuna sehemu pako wazZinamtosheleza una uhakika?
Wamama wanaotoshelezeka huko mbona ni rahisi mwaka mtoto, mwaka mimba. Na anafurahia 🤣
😂😂 kwahy kuna sehemu pako wazZinamtosheleza una uhakika?
Wamama wanaotoshelezeka huko mbona ni rahisi mwaka mtoto, mwaka mimba. Na anafurahia 🤣
Nenda kimila,waeleze ndugu zake hasa,wazazi!Ila nimfungulie mashtaka sio kisheria?
Icho ndicho nawaza sanaKwanini atoe bila taarifa yako?
Mbona unajitoa ,sema wetu!Hizo ni tabia za malaya.Fanya uchunguzi ujue ikiwa huyo unayemuita mke wako kama ni wako au ni wenu.
Unaonekana ungekataa!Icho ndicho nawaza sana
Atakama hafai kuwa mkeIwe ya maana au isiwe ya.maana zote ni sababu hawez kukurupuka tu
HawatoshekagiKama ni hivyo hasira zake, hasara!
Au sioHakuna hiyo, usijibu kabisaa kukaaa na MTU ukisema ukifika miezi SITA ni mke.
Never
Mahakamani wanaangalia vyeti
Duh hii nomaBahati mbaya sana Hawa viumbe kujua sababu ya matukio yao inaweza kuchukua hata miaka miwili au mitatu hivi ndio ukajua sababu!!
Kuna jamaa alikosana na mkewe,make akahama chumba!!Sasa jamaa akashangaa mwanamke kachukua panga na kuanza ku prune maua na miti mbele ya nyumba yao!!baada ya muda kaja kujua kumbe Kuna dogo jirani alikua anamla mkewe kwenye hayo maua marefu,Sasa make alijua labda jamaa na yeye anaweza kuvusha kipindi hicho wamekosana kwahiyo akaamua ayakate Ili huyo mwizi akija aonekane na kuona aibu!!
Hawa viumbe ukiona wanakushutumu unahonga na wanataia kudhibiti mapato Yako ,ujue yeye ndio anahongwa na anatoa mzigo!!
Ukiona anakishtukia TU,ujua Kuna jambo anafanya ni ku cheat!!
Na wewe ukichunguza utakuja kujua jambo la ajabu sana ambalo hutoendelea nae!!
Kabisa hana sifa tenaKama ameweza kutoa mimba kwa sababu yeyote ile hashindwi kukumaliza ww kwa sababu yeyote inayompa ugumu kutimiza azma yake!!!!
SawaHamjafika kanisani kufungishwa ndoa then unasema mke halali? Nani kahalalisha?
Hakuna sababu za maana za kufanya mauaji kwa namna yoyote ile.Iwe ya maana au isiwe ya.maana zote ni sababu hawez kukurupuka tu
Ingekuwa ni hivi asingesema ame abort..mtoto hakuwa wako, alivyopiga mahesabu ameona afute ushahidi