Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 4,705
- 10,209
Sio kidogo ni mkubwaKwahy kuna uwalakini?
Sio kidogo ni mkubwaKwahy kuna uwalakini?
Huyu ndio yule aliebeba mimba yako bila makubaliano au yule ni mchepuko?Kiserikari ukiishi na mtu ndani ya miezi sita uyo ni mke au mume
Katoa mimba kaona mtoto aweza fanana nawe nawe huna sura nzuri atiHell
Hivi unaweza vumilia hili suala ni mke wako kisheria umetoa mahali bado ndoa ya kanisani tu ila kisheria ni mkeo mna mtoto mmoja baada ya miaka miwili mkeo anapata mimba na wewe unajua maana amekufahamisha then gafla tu anaumwa kumpeleka hospital Dr anakwmbia alikunywa dawa za kutoa mimba bila shaka unaweza kuendelea nae?
Maswali yanakuja kwanini atoe mimba?
Kama ametoa mahari si Ndiyo ndoa ya kimila hiyo? Maana kimila wao wapate chao kama ni ng'ombe, au pesa, pombe na vikorombwezo vyake basi huyo ni mkeo halali kimila.Ulivyo muuliza yeye kakujibuje??
Every thing happen for a reason.
Muulize Kwanza, ujue sababu ni nini kisha ulete merejesho.
Btw kulipa mahari, hakuhalalishi ndoa. Ndoa ni either mfunge kanisani, msikitini au kimila.
Yule mchepukoHuyu ndio yule aliebeba mimba yako bila makubaliano au yule ni mchepuko?
😹😹 Acha basi ushawai shuhudia akipata rahaVile mlivyo waongo siwaamini... Inawezekana mnapata raha wakati wa kujifungua sema mnaamua kutuweka roho juujuu makusudi
😂😂 Yule imekuaje mbona hukuleta mrejesho?Yule mchepuko
Unasubiri apone kwani unatumia nguvu?Ngoja apone
Inawezekana
Nani? Mimi au mtoa madaWeee si ni jana tu umetuhonesha kupika pilau, leo ushakuwa mwanume teyali sio!
HakikaNakazia hapa
Upo sahihi.Labda ni ya mchepuko
Huyo hatua ya pili ni kukutoa wewe.Hell
Hivi unaweza vumilia hili suala ni mke wako kisheria umetoa mahali bado ndoa ya kanisani tu ila kisheria ni mkeo mna mtoto mmoja baada ya miaka miwili mkeo anapata mimba na wewe unajua maana amekufahamisha then gafla tu anaumwa kumpeleka hospital Dr anakwmbia alikunywa dawa za kutoa mimba bila shaka unaweza kuendelea nae?
Maswali yanakuja kwanini atoe mimba?
kabisaSure
Yupo ndugu yangu mumewe ni mkorofi sana, lakini akishabeba mimba anamtreat kama malkia, kila atakacho jamaa anakifuata. Hivyo nakubaliana na wewe Mkuu.Zinamtosheleza una uhakika?
Wamama wanaotoshelezeka huko mbona ni rahisi mwaka mtoto, mwaka mimba. Na anafurahia 🤣