min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,263
- 127,214
Achana nae, mwanamke anaeua kitoto bila sababu maalumu tena za kiafya ipo siku atakunywa wewe kama supu ya kongoro , akishushia na tusafari tu wiwili twa baridi.Mangi ni dada yako ujue maana ni mchaga wa machame