ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,366
- 118,749
Most likely, mimba ni ya mwanaume mwingine.Mimba si ya mume
Most likely, mimba ni ya mwanaume mwingine.Mimba si ya mume
Basi itoshe kusema kuwa hafai tenaKama huyo ni mkeo, basi kwa akili yangu ndogo ya kuvukia barabaran hiyo mimba sio yako. Wahenga walisema kitandan hakizai haramu. Walimanisha kuwa sio kila mtoto anaezaliwa ndani ya ndoa ni wakwako mwanaume.
Bimkubwa enzi zenu mlikuwa mnafanya hibyo pia?Mimba nyingine zinatoka tu zenyewe, mimba haitaki stress ,
Drs wengine ni heri na waganga wa kienyeji, au anamtaka mkeo?
Ukute na wewe hueleweki, watoto wawili ndoa bado, mengine mnayataka
Nakazia hapaLabda ni ya mchepuko
Noma sanaHizo ni tabia za malaya.Fanya uchunguzi ujue ikiwa huyo unayemuita mke wako kama ni wako au ni wenu.
Wazazi wake ukiongea nao hawana jibu lolote picha mama na baba yakr wametengana uzeeniNenda kimila,waeleze ndugu zake hasa,wazazi!
AtajifunzaKafungue kesi akakae gerezani kidogo
Au sioMimba ya baby wake, anaempenda kuliko wewe.... Kafuta ushahidi.... Watoto wanatokaga Copy
Kabisamafunzo ya veta niya muhimu we adi apo bado ujaelewa kitu tu… kwel veta niya muhim sana
Hatari hiimtoto hakuwa wako, alivyopiga mahesabu ameona afute ushahidi
Huyo Ana busara Sana, badala ya kukubambikia mtoto kaamua kukwambia siyo yako kwa vitendo.Hell
Hivi unaweza vumilia hili suala ni mke wako kisheria umetoa mahali bado ndoa ya kanisani tu ila kisheria ni mkeo mna mtoto mmoja baada ya miaka miwili mkeo anapata mimba na wewe unajua maana amekufahamisha then gafla tu anaumwa kumpeleka hospital Dr anakwmbia alikunywa dawa za kutoa mimba bila shaka unaweza kuendelea nae?
Maswali yanakuja kwanini atoe mimba?
Mangi ni dada yako ujue maana ni mchaga wa machameIpo siku atakutoa uhai na wewe kimbia upesi
Vile mlivyo waongo siwaamini... Inawezekana mnapata raha wakati wa kujifungua sema mnaamua kutuweka roho juujuu makusudiAmekumbuka kilichomkuta leba akaona cha kujifia 😂.
Kwahy kuna uwalakini?Mkuu, kabla ya kuongea jichunguze uchumi wako upoje? Mke anaweza kuwa kajua hapa hutoboi halafu akujazie watoto?
Pia huyo dr ni Muongo, kama mtu kanywa hizo dawa hakuna mbinu mtu mwingine anaweza jua, unless mgonjwa awe amesema which is less likely
Dah noma sanaKwanza, sina uhakika kama ni kweli maana we mpishi kutupikia chai ni kitu simple 🙂
Pili, tatizo nduguyetu Mwachiluwi unampikia sana huyo bibie, mara kisamvu cha yogurt, mara njegere za nazi, mara juisi ya mahindi. Mimba kutoka ni kugusa 🙂
Enewei, pole kijana mwanamke akifanya abortion tena wakati wewe umeshaikubali mimba ujue hapo huna chako mnasogeza tu siku 🙂
Hayana muongozo ila kwa hili, duh!!!
Mh kaziHuyo Ana busara Sana, badala ya kukubambikia mtoto kaamua kukwambia siyo yako kwa vitendo.
Shukuru Sana kwa Hilo na pima hao wengine.
AhaahaVile mlivyo waongo siwaamini... Inawezekana mnapata raha wakati wa kujifungua sema mnaamua kutuweka roho juujuu makusudi