Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,557
Subwoofer[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1466201
Subwoofer[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1466201
Pole sana mkuuYamenikuta jamani mke wangu hataki kujishughulisha kabisa kisa ni mrembo sana nadhani nikiwa kazini wananichapia. Maendeleo yamekwama kabisa
Babu yetu alikuwa anawaambiaga wajukuu zake wa kiume nawakumbusha tu kuwa mtoto wa kiume huwa harithi tako la mama msituharibie ukoo mnapoenda kuchagua mke.Kijana chunga sana mtu unayemuoa. Kuna baadhi yao wanaweza kukuharibia malengo yako. Usifuate wezere tu.