Mke anaweza kukuharibia mafanikio maishani

Uuuuh kwa comments hz nazidi kumshukru Mungu kwanza kwa uwajibikaji na pia kuwa na haka ka mwili kangu.

Nimegundua kumbe ukiwa kibonge na huna kipato ni tatizo ndani ya familia.
Namna hiyo. STUKA
 
Acha kumsema vibaya mama watoto wako..unajitukana na wewe mwenyewe kwani nyie sio mwili mmoja?tuanzie hapo
 
Acha kumsema vibaya mama watoto wako..unajitukana na wewe mwenyewe kwani nyie sio mwili mmoja?tuanzie hapo
 
Acha kumsema vibaya mama watoto wako..unajitukana na wewe mwenyewe kwani nyie sio mwili mmoja?tuanzie hapo
Natoa darasa kwa vijana au hujui kama hii mada ni muhimu sana?

Wahenga tunasema kosea vyote ukikosea kuoa umekwisha.

Hayo mambo ya mwili mmoja ukiyaendekeza katika mazingira fulani utadumaa akili, nenda nayo mguu ndani mguu nje. Sawasawa?
 
Je, akidai haki sawa utamnyima kama hutaki kuhudumia kila kitu?
 
Unazungumzia wanawake mlango wa 8....?
 
Pole, ni wajibu wako kumtunza mkeo, kama una ushahidi unachapiwa, kawafungulie kesi ya madai wanaokuchapia
Naona huu mtazamo ni wa zamani sana, maisha yamebadilika sana, binafsi mzee alifariki nikiwa na 13 yrs japo nna wadogo 2, na dada aliyenizidi 1.5 yr, home Hanna kilichobadilika, tuliendelea kusoma na maisha kwa ujumla yaliendelea vzuri, kama mama angekuwa na huu mtazamo wa kutunzwa na mumewe, tusingetoboa, kutunzwa kupo, bytheway hapo zamani kutunzwa kulimaanisha chakula (basic), mavazi (basic), na makazi (basic), nadhani hata leo mkioana mime aweze kutoa hayo ya msingi kinachoongezeka hapo liwe jukumu la pamoja, sio mwanamke mshahara wote uishie saluni na duka la nguo, mke ajue anawajibika kwa familia beyond kutoa uroda na kupika, by the way nowadays mpishi ni house girl kwenye nyumba nyinhi
 
Kijana chunga sana mtu unayemuoa. Kuna baadhi yao wanaweza kukuharibia malengo yako. Usifuate wezere tu.

Sasa mwanamke anakuharibiaje? Sema unajiharibia maisha mwenyewe.
Mwanamke wezere muhimu sana ...tena sana.
 
Omba Mungu akupe was kufanana nawe..na mwenye hofu yake.
 
I feel U brother wengi hawaelew unachopitia ila kama alikuwa mchakarikaji mwanzoni naamin ni kuongea nae tu atakaa sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…