Mtafutie kazi za kufanya akiwa nyumbani.... Yeye si hataki kutoka nje kutaabika na jua...Yamenikuta jamani mke wangu hataki kujishughulisha kabisa kisa ni mrembo sana nadhani nikiwa kazini wananichapia. Maendeleo yamekwama kabisa
Mpuuze fanya mambo yako kimya kimya hudumia basic needs tu. Hell wekeza kwenye vitu vya Maendeleo. Ukimuendekeza utakufa umuache watu waendelee kumpa tamuYamenikuta jamani mke wangu hataki kujishughulisha kabisa kisa ni mrembo sana nadhani nikiwa kazini wananichapia. Maendeleo yamekwama kabisa
Kuchapiwa unafungua Kesi ya Madai?Pole, ni wajibu wako kumtunza mkeo, kama una ushahidi unachapiwa, kawafungulie kesi ya madai wanaokuchapia
Babu yaaani hata hela ya kula naacha kwa taabu sana, nilifungua duka kashindwa sasa kumuacha nikifikiria watoto itawaathiri.Mpuuze fanya mambo yako kimya kimya hudumia basic needs tu. Hell wekeza kwenye vitu vua Maendeleo.
pole Sana mkuu,Babu yaaani hata hela ya kula naacha kwa taabu sana, nilifungua duka kashindwa sasa kumuacha nikifikiria watoto itawaathiri.
Yaani ni mvivu balaa na mimi kakipato kangu hakatoshi kabisa kusave
Sema shida nini, ni vile tunaongea nyuma ya keyboard, tumeshakuwa watu wazima.pole Sana mkuu,
Nikushauri, Ongea na wazaz wake Kwanza ujue MISIMAMO Yao juu ya binti yao.
Ikishindikana, Mpeleke kijeshi uyo.
Sometimes jitoe TU ufahamu kwa mda, Afu utaona matokeo Yake.
Atabadilika vizur Sana.
Acha kabisa kabisa kutoa Ela ya kula,
Mwambie Hukumuoa awe golikipa.
"KWANGU Hakuna kula bure, lazima wote tutafute Mana hii familia Ni yetu sote.
Huwezi kutafuta Rudi kwenu na Ela ya kula sitoi mpk siku utakapobadilika"
Aisee asishirikishe wazazi coz wanakua vizuri binti yao. Na siku alipopata mume walishukuru mzigo kupata mbebaji mpaka kifo Happ pambana mwenyewe chief. Mzigo wa nnya huopole Sana mkuu,
Nikushauri, Ongea na wazaz wake Kwanza ujue MISIMAMO Yao juu ya binti yao.
Ikishindikana, Mpeleke kijeshi uyo.
Sometimes jitoe TU ufahamu kwa mda, Afu utaona matokeo Yake.
Atabadilika vizur Sana.
Acha kabisa kabisa kutoa Ela ya kula,
Mwambie Hukumuoa awe golikipa.
"KWANGU Hakuna kula bure, lazima wote tutafute Mana hii familia Ni yetu sote.
Huwezi kutafuta Rudi kwenu na Ela ya kula sitoi mpk siku utakapobadilika"
Nilipenda ile tagline yako ebu irudishe chalii Yees Bishooo haswaaaa!!

nmeirudisha mkuuKwan kwenye hizo kona za hipsi kaweka maembe
Wakora waiting. Home pamenogaKwan kwenye hizo kona za hipsi kaweka maembe
Tuliza akili tafuta demu nje piga mashine Rudi home mwepesiiii Yann kujipa stress na golikipa? Ndoa za kigalatia inabid kuwa mnadiji tu Ili maisha yaende si unajua hatunaga talaka