establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,632
- 2,448
- Thread starter
- #41
Namna hiyo. STUKAUuuuh kwa comments hz nazidi kumshukru Mungu kwanza kwa uwajibikaji na pia kuwa na haka ka mwili kangu.
Nimegundua kumbe ukiwa kibonge na huna kipato ni tatizo ndani ya familia.