Mke ananipa unyumba kwa tabu sana

Mke ananipa unyumba kwa tabu sana

Inawezekana ana matatizo ya kiafya, tafuta daktari inawezekana tatizo lina solution nzuri tuu
 
Kuna jamaa yangu wa karibu sana alikutana na hali kama hii; jamaa akaona isiwe jau. akavuta mchepuko kaupangishia nyimba ikawa kila akitoka kwenye mishe zake anapita kwa mchepuko maisha yanaendelea. mkewe alikuwa na sababu kama za huyo wa mleta uzi. kuchepuka alikuwa hawezi maana kuna geti kali na house girl hana . hii hali huwatokea sasa sijui shida iko wapi. basi siku moja wife wa jamaa akaamua kufunguka kuhusu jamaa jamaa nae akajieleza ushauri ulikuwa wakamuone daktari.
Duh nimetumia kila njia aseme tatizo nn
 
فَانكِحُوا مَا طَابَ لَكُم مِّنَ النِّسَاءِ مَثْنَىٰ وَثُلَاثَ وَرُبَاعَ ۖ
Surat an nisaa 4,3 ,umejuaje sio hadithi tu za kutungwa?
 
Habari zenu wakuu, kama kichwa kinavyojieleza. Mimi na huyu mke wangu tupo kwenye ndoa kwa miaka mitatu sasa.

Mwanzo kipindi tunaingia kwenye ndoa alikuwa ananipa haki yangu tena kwa ushirikiano mkubwa sana. Tatizo lilianza alipobeba ujauzito. Miezi ya mwanzo ya ujauzito hadi kufikia miezi saba tulikuwa tukishiriki vizuri tu. Ujauzito ulipofikisha miezi saba, tulipumzika hadi alipojifungua, na mtoto kutimiza miezi mitatu, nikaanza kudai. Zikaanza sababu mara mtoto bado mdogo mara naumia.

Nikaendelea kuvumilia nikadhani shida itaisha. Mtoto amefikisha mwaka ndo tatizo likazidi Ili nipate lazima nilazimishe sana, na wakati mwingine tukifanya hatoi ushirikiano kabisa. Nikaamuliza shida. Nini anasema hakuna tatizo; alikuwa anatumia sindano za kuzuia ujauzito Nikajua ndo sababu, nikamwambia aache.

Bado haikuwa solution. Nimewaambia ndugu zake kadhaa wamemsema, ikiwemo shangazi zake, lakini wapi? Nimejaribu kuchunguza mno kama anacheat, sioni huo uwezekano kwani yeye ni mama wa nyumbani anashinda home tu. Nafikiria kumtaliki, namuonea huruma mwanangu sana kuishi bila malezi ya wazazi.

Naombeni ushauri wakuu nifanyaje
ongeza mke wewe
 
Unahangaikia Nini tafuta mchepuko ULIO tulia then UWE UNA UPONEA MKUU...OOHH
 
Njia kama ipi mkuu. Hili ni janga kweli aisee
Komaa kutafuta njia mbadala ya uzazi wa mpango vidonge sijui sindano, vijiti ni janga katika ndoa wanaume wengi wanalaumu wake ila chanzo cha tatizo ni ni matumizi ya njia za uzazi sa mpango mwanamke anakosa kabisa ham ya kujamiana
 
kaka huenda kuna ahadi hujatimiza, fanya tafakuri hapo.
wanawake watu wa hisia sana, inaonekana Hujali kabisa Hisia zake, mpe kitu ile roho inataka uone utakavopewa hadi uikimbie
 
Habari zenu wakuu, kama kichwa kinavyojieleza. Mimi na huyu mke wangu tupo kwenye ndoa kwa miaka mitatu sasa.

Mwanzo kipindi tunaingia kwenye ndoa alikuwa ananipa haki yangu tena kwa ushirikiano mkubwa sana. Tatizo lilianza alipobeba ujauzito. Miezi ya mwanzo ya ujauzito hadi kufikia miezi saba tulikuwa tukishiriki vizuri tu. Ujauzito ulipofikisha miezi saba, tulipumzika hadi alipojifungua, na mtoto kutimiza miezi mitatu, nikaanza kudai. Zikaanza sababu mara mtoto bado mdogo mara naumia.

Nikaendelea kuvumilia nikadhani shida itaisha. Mtoto amefikisha mwaka ndo tatizo likazidi Ili nipate lazima nilazimishe sana, na wakati mwingine tukifanya hatoi ushirikiano kabisa. Nikaamuliza shida. Nini anasema hakuna tatizo; alikuwa anatumia sindano za kuzuia ujauzito Nikajua ndo sababu, nikamwambia aache.

Bado haikuwa solution. Nimewaambia ndugu zake kadhaa wamemsema, ikiwemo shangazi zake, lakini wapi? Nimejaribu kuchunguza mno kama anacheat, sioni huo uwezekano kwani yeye ni mama wa nyumbani anashinda home tu. Nafikiria kumtaliki, namuonea huruma mwanangu sana kuishi bila malezi ya wazazi.

Naombeni ushauri wakuu nifanyaje
Sikufundishi Tena kama hata hii hujui!
20250211_180402.jpg
 
Hivi kumnyonyesha mtoto unadhani mchezo??? Huwa genye zinapungua au kukata kabisa ukiongeza na hizo sindano ngoma inakuwa kavu kama mwamba
 
Back
Top Bottom