Tafuta chimbo jipya fasta,unajua Wazee wetu walikuwa makini hizi mambo jibu lake ni michepuko,Mimi nina mke na wengine wawili wako side chick,lakini Kuna wakati wote wanagima kutoa route natafuta wa mkataba mfupi namaliza kazi huku naendela na wajumbe wangu bila hata kelele,Hawa watu Wana shida kama zote.Habari zenu wakuu, kama kichwa kinavyojieleza. Mimi na huyu mke wangu tupo kwenye ndoa kwa miaka mitatu sasa.
Mwanzo kipindi tunaingia kwenye ndoa alikuwa ananipa haki yangu tena kwa ushirikiano mkubwa sana. Tatizo lilianza alipobeba ujauzito. Miezi ya mwanzo ya ujauzito hadi kufikia miezi saba tulikuwa tukishiriki vizuri tu. Ujauzito ulipofikisha miezi saba, tulipumzika hadi alipojifungua, na mtoto kutimiza miezi mitatu, nikaanza kudai. Zikaanza sababu mara mtoto bado mdogo mara naumia.
Nikaendelea kuvumilia nikadhani shida itaisha. Mtoto amefikisha mwaka ndo tatizo likazidi Ili nipate lazima nilazimishe sana, na wakati mwingine tukifanya hatoi ushirikiano kabisa. Nikaamuliza shida. Nini anasema hakuna tatizo; alikuwa anatumia sindano za kuzuia ujauzito Nikajua ndo sababu, nikamwambia aache.
Bado haikuwa solution. Nimewaambia ndugu zake kadhaa wamemsema, ikiwemo shangazi zake, lakini wapi? Nimejaribu kuchunguza mno kama anacheat, sioni huo uwezekano kwani yeye ni mama wa nyumbani anashinda home tu. Nafikiria kumtaliki, namuonea huruma mwanangu sana kuishi bila malezi ya wazazi.
Naombeni ushauri wakuu nifanyaje
Bado mnaoa tu!!!?? Aya...Habari zenu wakuu, kama kichwa kinavyojieleza. Mimi na huyu mke wangu tupo kwenye ndoa kwa miaka mitatu sasa.
Mwanzo kipindi tunaingia kwenye ndoa alikuwa ananipa haki yangu tena kwa ushirikiano mkubwa sana. Tatizo lilianza alipobeba ujauzito. Miezi ya mwanzo ya ujauzito hadi kufikia miezi saba tulikuwa tukishiriki vizuri tu. Ujauzito ulipofikisha miezi saba, tulipumzika hadi alipojifungua, na mtoto kutimiza miezi mitatu, nikaanza kudai. Zikaanza sababu mara mtoto bado mdogo mara naumia.
Nikaendelea kuvumilia nikadhani shida itaisha. Mtoto amefikisha mwaka ndo tatizo likazidi Ili nipate lazima nilazimishe sana, na wakati mwingine tukifanya hatoi ushirikiano kabisa. Nikaamuliza shida. Nini anasema hakuna tatizo; alikuwa anatumia sindano za kuzuia ujauzito Nikajua ndo sababu, nikamwambia aache.
Bado haikuwa solution. Nimewaambia ndugu zake kadhaa wamemsema, ikiwemo shangazi zake, lakini wapi? Nimejaribu kuchunguza mno kama anacheat, sioni huo uwezekano kwani yeye ni mama wa nyumbani anashinda home tu. Nafikiria kumtaliki, namuonea huruma mwanangu sana kuishi bila malezi ya wazazi.
Naombeni ushauri wakuu nifanyaje
Sema alikuwa anaongea points tupu.Hili ndo lilimfanya secretarybird kumuacha BICHWA KOMWE - mara zote akidai ananyonyesha na ety atabemenda mtoto 🤔
Ana bwana mwingine maarufu ndege joooSema alikuwa anaongea points tupu.
BICHWA KOMWE - ana uelewa mkubwa sana wa mambo ndo maana nampenda.
32 yrsUna umri gani jombaa?
Hata kama....Ana bwana mwingine maarufu ndege jooo
Sipo kushindana nshakupa taarifaHata kama....
Hahaha 😂Sipo kushindana nshakupa taarifa
Ukitaka kukomesha tabia hii, acha kumuomba mchezo uone atakavyofunguka. SimpoHabari zenu wakuu, kama kichwa kinavyojieleza. Mimi na huyu mke wangu tupo kwenye ndoa kwa miaka mitatu sasa.
Mwanzo kipindi tunaingia kwenye ndoa alikuwa ananipa haki yangu tena kwa ushirikiano mkubwa sana. Tatizo lilianza alipobeba ujauzito. Miezi ya mwanzo ya ujauzito hadi kufikia miezi saba tulikuwa tukishiriki vizuri tu. Ujauzito ulipofikisha miezi saba, tulipumzika hadi alipojifungua, na mtoto kutimiza miezi mitatu, nikaanza kudai. Zikaanza sababu mara mtoto bado mdogo mara naumia.
Nikaendelea kuvumilia nikadhani shida itaisha. Mtoto amefikisha mwaka ndo tatizo likazidi Ili nipate lazima nilazimishe sana, na wakati mwingine tukifanya hatoi ushirikiano kabisa. Nikaamuliza shida. Nini anasema hakuna tatizo; alikuwa anatumia sindano za kuzuia ujauzito Nikajua ndo sababu, nikamwambia aache.
Bado haikuwa solution. Nimewaambia ndugu zake kadhaa wamemsema, ikiwemo shangazi zake, lakini wapi? Nimejaribu kuchunguza mno kama anacheat, sioni huo uwezekano kwani yeye ni mama wa nyumbani anashinda home tu. Nafikiria kumtaliki, namuonea huruma mwanangu sana kuishi bila malezi ya wazazi.
Naombeni ushauri wakuu nifanyaje
Wacheka nn ? Kuna kitu kinafurahisha ?Hahaha 😂
🤣🤣 Naja kushusha vitu maan watu washaanza kusinzia huko sijui itakuwaje.Mkuu hebu twende kwa Higgy kule porini
Tunga mfano wake halaf ndio nitaamin kama ni za kutungwaSurat an nisaa 4,3 ,umejuaje sio hadithi tu za kutungwa?
Ila wanawake wana mambo mengi sana, ndio maana wazee wetu walikuwa wanaoa wake wawili na kuendelea.Uzazi una mambo mengi sana hasa wa kwanza, kuna matatizo ya kisaikolojia baadhi ya wanawake huwa wanapata hamu ya tendo inakata kabisa, hasa kama ilikua traumatic birth.
Zingatia alichosema Detective J hapo juu.