Achana na hizo sindano za uzaz wa mpango si nzuri kiafya.Ukiona anaendelea ujue unatombewaHabari zenu wakuu, kama kichwa kinavyojieleza. Mimi na huyu mke wangu tupo kwenye ndoa kwa miaka mitatu sasa.
Mwanzo kipindi tunaingia kwenye ndoa alikuwa ananipa haki yangu tena kwa ushirikiano mkubwa sana. Tatizo lilianza alipobeba ujauzito. Miezi ya mwanzo ya ujauzito hadi kufikia miezi saba tulikuwa tukishiriki vizuri tu. Ujauzito ulipofikisha miezi saba, tulipumzika hadi alipojifungua, na mtoto kutimiza miezi mitatu, nikaanza kudai. Zikaanza sababu mara mtoto bado mdogo mara naumia.
Nikaendelea kuvumilia nikadhani shida itaisha. Mtoto amefikisha mwaka ndo tatizo likazidi Ili nipate lazima nilazimishe sana, na wakati mwingine tukifanya hatoi ushirikiano kabisa. Nikaamuliza shida. Nini anasema hakuna tatizo; alikuwa anatumia sindano za kuzuia ujauzito Nikajua ndo sababu, nikamwambia aache.
Bado haikuwa solution. Nimewaambia ndugu zake kadhaa wamemsema, ikiwemo shangazi zake, lakini wapi? Nimejaribu kuchunguza mno kama anacheat, sioni huo uwezekano kwani yeye ni mama wa nyumbani anashinda home tu. Nafikiria kumtaliki, namuonea huruma mwanangu sana kuishi bila malezi ya wazazi.
Naombeni ushauri wakuu nifanyaje
huezi sema kataa ndoa unataka watoto wako walelewe na nan? mubaba ama unataka dogo akuzwe awe na akili za single maza?Ndio maana nikasema kataa ndoa, ikibidi oa at your own risk.
Huyu ni mke si malaya wa barabarani.Unajua haya maisha ni mafupi sana, ukianza ku focus na matatizo ya mtu mwengine kwanza kabisa yatakutoa mchezoni, then stress zitakuandama na lastly Furaha pia itapotea.
Kama unaona is worth it, then go ahead be that nice guy but trust me yeye angekuwa wewe basi mpaka sasa unaugulia maumivu ya kuachwa.
Kuvumilia matatizo ya mtu mwengine sio sifa while yakikukuta wewe kila mtu anapita njia yake, You'll ask yourself why me?
It's because you're weak! and weak people don't last long 😎
Acha ujinga wa kufikiria kuachana, hiyo siyo suluhu maana wewe unahitaji mbususu tuu.Habari zenu wakuu, kama kichwa kinavyojieleza. Mimi na huyu mke wangu tupo kwenye ndoa kwa miaka mitatu sasa.
Mwanzo kipindi tunaingia kwenye ndoa alikuwa ananipa haki yangu tena kwa ushirikiano mkubwa sana. Tatizo lilianza alipobeba ujauzito. Miezi ya mwanzo ya ujauzito hadi kufikia miezi saba tulikuwa tukishiriki vizuri tu. Ujauzito ulipofikisha miezi saba, tulipumzika hadi alipojifungua, na mtoto kutimiza miezi mitatu, nikaanza kudai. Zikaanza sababu mara mtoto bado mdogo mara naumia.
Nikaendelea kuvumilia nikadhani shida itaisha. Mtoto amefikisha mwaka ndo tatizo likazidi Ili nipate lazima nilazimishe sana, na wakati mwingine tukifanya hatoi ushirikiano kabisa. Nikaamuliza shida. Nini anasema hakuna tatizo; alikuwa anatumia sindano za kuzuia ujauzito Nikajua ndo sababu, nikamwambia aache.
Bado haikuwa solution. Nimewaambia ndugu zake kadhaa wamemsema, ikiwemo shangazi zake, lakini wapi? Nimejaribu kuchunguza mno kama anacheat, sioni huo uwezekano kwani yeye ni mama wa nyumbani anashinda home tu. Nafikiria kumtaliki, namuonea huruma mwanangu sana kuishi bila malezi ya wazazi.
Naombeni ushauri wakuu nifanyaje
Sina kipato Cha kutoahaAcha ujinga wa kufikiria kuachana, hiyo siyo suluhu maana wewe unahitaji mbususu tuu.
Oa mke wa pili matatizo yataisha yenyeweeee.
Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake. Fanya kuongeza mke wa pili kama dini yako inakuruhusu uone kama ataendelea kuwa hvyo. Kumuacha sio suluhisho,
Kuna jamaa yangu wa karibu sana alikutana na hali kama hii; jamaa akaona isiwe jau. akavuta mchepuko kaupangishia nyimba ikawa kila akitoka kwenye mishe zake anapita kwa mchepuko maisha yanaendelea. mkewe alikuwa na sababu kama za huyo wa mleta uzi. kuchepuka alikuwa hawezi maana kuna geti kali na house girl hana . hii hali huwatokea sasa sijui shida iko wapi. basi siku moja wife wa jamaa akaamua kufunguka kuhusu jamaa jamaa nae akajieleza ushauri ulikuwa wakamuone daktari.Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake. Fanya kuongeza mke wa pili kama dini yako inakuruhusu uone kama ataendelea kuwa hvyo. Kumuacha sio suluhisho,
Iwapo anafanya yote kasoro ngono tu, basi unahitaji mambo machache tu.Habari zenu wakuu, kama kichwa kinavyojieleza. Mimi na huyu mke wangu tupo kwenye ndoa kwa miaka mitatu sasa.
Mwanzo kipindi tunaingia kwenye ndoa alikuwa ananipa haki yangu tena kwa ushirikiano mkubwa sana. Tatizo lilianza alipobeba ujauzito. Miezi ya mwanzo ya ujauzito hadi kufikia miezi saba tulikuwa tukishiriki vizuri tu. Ujauzito ulipofikisha miezi saba, tulipumzika hadi alipojifungua, na mtoto kutimiza miezi mitatu, nikaanza kudai. Zikaanza sababu mara mtoto bado mdogo mara naumia.
Nikaendelea kuvumilia nikadhani shida itaisha. Mtoto amefikisha mwaka ndo tatizo likazidi Ili nipate lazima nilazimishe sana, na wakati mwingine tukifanya hatoi ushirikiano kabisa. Nikaamuliza shida. Nini anasema hakuna tatizo; alikuwa anatumia sindano za kuzuia ujauzito Nikajua ndo sababu, nikamwambia aache.
Bado haikuwa solution. Nimewaambia ndugu zake kadhaa wamemsema, ikiwemo shangazi zake, lakini wapi? Nimejaribu kuchunguza mno kama anacheat, sioni huo uwezekano kwani yeye ni mama wa nyumbani anashinda home tu. Nafikiria kumtaliki, namuonea huruma mwanangu sana kuishi bila malezi ya wazazi.
Naombeni ushauri wakuu nifanyaje
Ndoa usichukulie as scapegoat mkuu, ushanyimwa unyumba mwaka mzima tena without excuse what else do you expect?Huyu ni mke si malaya wa barabarani.
Kama unajua yu cant handle shida za mke bora usioe kabisa. But the guy tayari yupo kwenye ndoa.
Kabla hajafikia uamuzi wowote, woiganie ndoa by any mwans. If all options zisipo faniliwa he has green light ya kumrudisha kwao
Nashangaa miaka mitatu yq kiburi na mtu hajapandishwa cheo.Mpe cheo
mgegedo = ndoaHivi wakuu huwa hamna priorities zingine zaidi ya migegedo. Mimi nilidhani ndoa ni zaidi ya migegedo. Huyo hana kosa, amepoteza interest tu either za za migegedo au za migegedo na wewe. Mtu kupoteza interest ninkawaida tu. Kama mengine anatimiza kama mke unamuacha kwanini? Maisha ni zaidi ya minyanduano mkuu, hayo mambo unaweza pata hata pengine, ila character ya mke haipatikani kwa kila mwanamke. Jichanganye
Swala lako linaweza kuwa ni la kiafya zaidi upande wa Mke wako.Habari zenu wakuu, kama kichwa kinavyojieleza. Mimi na huyu mke wangu tupo kwenye ndoa kwa miaka mitatu sasa.
Mwanzo kipindi tunaingia kwenye ndoa alikuwa ananipa haki yangu tena kwa ushirikiano mkubwa sana. Tatizo lilianza alipobeba ujauzito. Miezi ya mwanzo ya ujauzito hadi kufikia miezi saba tulikuwa tukishiriki vizuri tu. Ujauzito ulipofikisha miezi saba, tulipumzika hadi alipojifungua, na mtoto kutimiza miezi mitatu, nikaanza kudai. Zikaanza sababu mara mtoto bado mdogo mara naumia.
Nikaendelea kuvumilia nikadhani shida itaisha. Mtoto amefikisha mwaka ndo tatizo likazidi Ili nipate lazima nilazimishe sana, na wakati mwingine tukifanya hatoi ushirikiano kabisa. Nikaamuliza shida. Nini anasema hakuna tatizo; alikuwa anatumia sindano za kuzuia ujauzito Nikajua ndo sababu, nikamwambia aache.
Bado haikuwa solution. Nimewaambia ndugu zake kadhaa wamemsema, ikiwemo shangazi zake, lakini wapi? Nimejaribu kuchunguza mno kama anacheat, sioni huo uwezekano kwani yeye ni mama wa nyumbani anashinda home tu. Nafikiria kumtaliki, namuonea huruma mwanangu sana kuishi bila malezi ya wazazi.
Naombeni ushauri wakuu nifanyaje
Ukininyima nakushika shika mpaka unanipa...Haitakiwi Kunyimana lo
Ndyo maana nikaleta hapa Ili nipate msaada ,funguq code mkuuBado nitazidi kukushukuru Mama E wangu. Na please usinichoke. Bila kujitambua hapa duniani ni mateso tupu hata uwe na pesa na madaraka zaidi ya Putin. Sijui nitakupa zawadi gani mshikaji wangu kwa kunifungulia code hii muhimu maishani!
➡️➡️➡️ Mkeo ana ishu ndogo tu ya kisaikolojia. Hana mwanaume mwingine na wala ha-cheat. Ungekuwa unajitambua ungeitatua mara moja tu; na yeye mwenyewe ndo angekuwa anakuinamia na kukumeng'enyulia mtako ili umle. Sad!
MudiWaliambiwa na nani?