Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 7,944
- 20,983
Vipi akiongeza halafu wote wamnyime!Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake. Fanya kuongeza mke wa pili kama dini yako inakuruhusu uone kama ataendelea kuwa hvyo. Kumuacha sio suluhisho,
Vipi akiongeza halafu wote wamnyime!Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake. Fanya kuongeza mke wa pili kama dini yako inakuruhusu uone kama ataendelea kuwa hvyo. Kumuacha sio suluhisho,
Kenge mpaka atoe damu mkuuKataa ndoa...
Ndoa ni ukatili mkuu...
Pesa ya kutunzia mke, wenzake huku tunatafuta utajiri kwa kubet...🤣Kenge mpaka atoe damu mkuu
Kama hujaoa au huna familia huwezi elewa. Hii mada ni ya watu wazimaHuo ni uongo na visingizio
haha 😀kuna namna umeathirika kisaiklojia, jiepushe kwenda na trend za mtandaoni! huyu jamaa alitakiwa kureport kwa wazazi wake sio ndugu, mfano baba yake
Usijejaribu kuonja kwingine utakachokikuta huko hutaacha hadi waingia kaburiniHabari zenu wakuu, kama kichwa kinavyojieleza. Mimi na huyu mke wangu tupo kwenye ndoa kwa miaka mitatu sasa.
Mwanzo kipindi tunaingia kwenye ndoa alikuwa ananipa haki yangu tena kwa ushirikiano mkubwa sana. Tatizo lilianza alipobeba ujauzito. Miezi ya mwanzo ya ujauzito hadi kufikia miezi saba tulikuwa tukishiriki vizuri tu. Ujauzito ulipofikisha miezi saba, tulipumzika hadi alipojifungua, na mtoto kutimiza miezi mitatu, nikaanza kudai. Zikaanza sababu mara mtoto bado mdogo mara naumia.
Nikaendelea kuvumilia nikadhani shida itaisha. Mtoto amefikisha mwaka ndo tatizo likazidi Ili nipate lazima nilazimishe sana, na wakati mwingine tukifanya hatoi ushirikiano kabisa. Nikaamuliza shida. Nini anasema hakuna tatizo; alikuwa anatumia sindano za kuzuia ujauzito Nikajua ndo sababu, nikamwambia aache.
Bado haikuwa solution. Nimewaambia ndugu zake kadhaa wamemsema, ikiwemo shangazi zake, lakini wapi? Nimejaribu kuchunguza mno kama anacheat, sioni huo uwezekano kwani yeye ni mama wa nyumbani anashinda home tu. Nafikiria kumtaliki, namuonea huruma mwanangu sana kuishi bila malezi ya wazazi.
Naombeni ushauri wakuu nifanyaje
Kabisa bora kubeti kuliko kutunza mtu haujui sa ngapi anaweza kata hizo mbupu ukiwa usingizini🤔Pesa ya kutunzia mke, wenzake huku tunatafuta utajiri kwa kubet...🤣
ukitafuta ubaya wa mtu utaupata ukitaka kutafuta uzuri wa mtu pia utaupata ila wewe umeegemea sana negative, kwahio story zenye negative znakuvutia sana, hilo ni tatizo la kisaikolojia na litakufanya uone watu wote wabaya, wapo wanawake wanaopigwa matukio pia, wapo waliodanganywa same way kwa wanaume! ukiigemea sana kwenye mbaya uavuna hayo hayo mabayahaha 😀
sawa kiongozi sikupingi ngoja nikuache ukaze fuvu.
Bwashe aya bana unahisi sina mwanamke au familia sio, unaweza kufata kila jambo ambalo litastawisha mahusiano, ukazingatia kila kigezo, ukampa kila anachotaka, ukamridhisha lakini akiamua jambo lake huwezi kuzuia, she will do it anyway, na hata sisi wanaume kama tuna jambo letu hata mwanamke afanyeje kama tumeamua we will do it anyway.ukitafuta ubaya wa mtu utaupata ukitaka kutafuta uzuri wa mtu pia utaupata ila wewe umeegemea sana negative, kwahio story zenye negative znakuvutia sana, hilo ni tatizo la kisaikolojia na litakufanya uone watu wote wabaya, wapo wanawake wanaopigwa matukio pia, wapo waliodanganywa same way kwa wanaume! ukiigemea sana kwenye mbaya uavuna hayo hayo mabaya
Usimtaliki,ongea nae kwa upole na heshima atakueleza shida aliyonayo,ni lazima ana matatizo yanayomsumbua,ni wazi kuwa ana shida ya kisaikilojia au kuna shida upande wako ila hana unavu au ujasiri wa kukuambia,msingi wa yote ni kuongea wewe na yeyeHabari zenu wakuu, kama kichwa kinavyojieleza. Mimi na huyu mke wangu tupo kwenye ndoa kwa miaka mitatu sasa.
Mwanzo kipindi tunaingia kwenye ndoa alikuwa ananipa haki yangu tena kwa ushirikiano mkubwa sana. Tatizo lilianza alipobeba ujauzito. Miezi ya mwanzo ya ujauzito hadi kufikia miezi saba tulikuwa tukishiriki vizuri tu. Ujauzito ulipofikisha miezi saba, tulipumzika hadi alipojifungua, na mtoto kutimiza miezi mitatu, nikaanza kudai. Zikaanza sababu mara mtoto bado mdogo mara naumia.
Nikaendelea kuvumilia nikadhani shida itaisha. Mtoto amefikisha mwaka ndo tatizo likazidi Ili nipate lazima nilazimishe sana, na wakati mwingine tukifanya hatoi ushirikiano kabisa. Nikaamuliza shida. Nini anasema hakuna tatizo; alikuwa anatumia sindano za kuzuia ujauzito Nikajua ndo sababu, nikamwambia aache.
Bado haikuwa solution. Nimewaambia ndugu zake kadhaa wamemsema, ikiwemo shangazi zake, lakini wapi? Nimejaribu kuchunguza mno kama anacheat, sioni huo uwezekano kwani yeye ni mama wa nyumbani anashinda home tu. Nafikiria kumtaliki, namuonea huruma mwanangu sana kuishi bila malezi ya wazazi.
Naombeni ushauri wakuu nifanyaje
mzee kwan sisi hatujaoa ama? and ofcourse vita za id amini apa na pale zpo ila baada ya zile vita maisha lazima yaendeleeBwashe aya bana unahisi sina mwanamke au familia sio, ngoja nikuache!
Nitafanyia kazi ushauri wako broAna shida ya kisaikolohia, badili mazingira, mchukue nenda bae mbalii hata vacation, toka kwenye hayo mazingira
Jadililini kama wapenzi, haya mazingira yatamfanya afunguke
Ndio maana nikasema kataa ndoa, ikibidi oa at your own risk.mzee kwan sisi hatujaoa ama? and ofcourse vita za id amini apa na pale zpo ila baada ya zile vita maisha lazima yaendelee