Mke ananipa unyumba kwa tabu sana

Mke ananipa unyumba kwa tabu sana

Habari zenu wakuu, kama kichwa kinavyojieleza. Mimi na huyu mke wangu tupo kwenye ndoa kwa miaka mitatu sasa.

Mwanzo kipindi tunaingia kwenye ndoa alikuwa ananipa haki yangu tena kwa ushirikiano mkubwa sana. Tatizo lilianza alipobeba ujauzito. Miezi ya mwanzo ya ujauzito hadi kufikia miezi saba tulikuwa tukishiriki vizuri tu. Ujauzito ulipofikisha miezi saba, tulipumzika hadi alipojifungua, na mtoto kutimiza miezi mitatu, nikaanza kudai. Zikaanza sababu mara mtoto bado mdogo mara naumia.

Nikaendelea kuvumilia nikadhani shida itaisha. Mtoto amefikisha mwaka ndo tatizo likazidi Ili nipate lazima nilazimishe sana, na wakati mwingine tukifanya hatoi ushirikiano kabisa. Nikaamuliza shida. Nini anasema hakuna tatizo; alikuwa anatumia sindano za kuzuia ujauzito Nikajua ndo sababu, nikamwambia aache.

Bado haikuwa solution. Nimewaambia ndugu zake kadhaa wamemsema, ikiwemo shangazi zake, lakini wapi? Nimejaribu kuchunguza mno kama anacheat, sioni huo uwezekano kwani yeye ni mama wa nyumbani anashinda home tu. Nafikiria kumtaliki, namuonea huruma mwanangu sana kuishi bila malezi ya wazazi.

Naombeni ushauri wakuu nifanyaje
Simple ama amekuwa barafu (fridged) au hakutaki tena.
 
😂😂 haya kuna mwenzetu anapata uroda wa mgao huku
 
Tunga mfano wake halaf ndio nitaamin kama ni za kutungwa

قُل لَّئِنِ اجْتَمَعَتِ الْإِنسُ وَالْجِنُّ عَلَىٰ أَن يَأْتُوا بِمِثْلِ هَٰذَا الْقُرْآنِ لَا يَأْتُونَ بِمِثْلِهِ وَلَوْ كَانَ بَعْضُهُمْ لِبَعْضٍ ظَهِيرًا
Wewe ndio uthibitishe hizo hadithi mangi
 
Njia kama ipi mkuu. Hili ni janga kweli aisee
Jitahidi mtembee na karenda ikiwa ngumu basi nenda kibantu unajua kibantu mama anafungwa uzazi kimira yani hashiki mimba hata afanyeje mpaka muende tegua ndio anashika mimba hii imekaaje


Ushasikia zile kesi kuwa mwanamke kafungwa kizazi asishike mimba kimauza uza uza basi ndio njia inayotumika kwa uzazi wa mpango usio na kelele mama anafugwa uzazi akiamua kuzaa anazaa tu kwani unajua ulipofungia
 
Back
Top Bottom