- Thread starter
- #41
Sijamchoka ,Bado nampenda shughuli nyingine zote anafanya kwa ustadi mkubwa isipokuwa hiyo tuUshamchoka mtoto wa watu unataka kumuacha
Sijamchoka ,Bado nampenda shughuli nyingine zote anafanya kwa ustadi mkubwa isipokuwa hiyo tuUshamchoka mtoto wa watu unataka kumuacha
Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake. Fanya kuongeza mke wa pili kama dini yako inakuruhusu uone kama ataendelea kuwa hvyo. Kumuacha sio sul
Nimwite nani mkuuNa bado unamuita mkeo😂
Haitakiwi Kunyimana lo
😄😄😄😄 Ila humuBado nitazidi kukushukuru Mama E wangu. Na please usinichoke. Bila kujitambua hapa duniani ni mateso tupu hata uwe na pesa na madaraka zaidi ya Putin. Sijui nitakupa zawadi gani mshikaji wangu kwa kunifungulia code hii muhimu maishani!
➡️➡️➡️ Mkeo ana ishu ndogo tu ya kisaikolojia. Hana mwanaume mwingine na wala ha-cheat. Ungekuwa unajitambua ungeitatua mara moja tu; na yeye mwenyewe ndo angekuwa anakuinamia na kukumeng'enyulia mtako ili umle. Sad!
Yaani umejiridhisha siyo msaliti halafu umtaliki kisa mbususu, kwani ni yeye pekee anayo?!!Nimejaribu kuchunguza mno kama anacheat, sioni huo uwezekano kwani yeye ni mama wa nyumbani anashinda home tu. Nafikiria kumtaliki, namuonea huruma mwanangu sana kuishi bila malezi ya wazazi.
Kampime Ugongwa wa Thyroid , na afanye Hormonal profileHabari zenu wakuu, kama kichwa kinavyojieleza. Mimi na huyu mke wangu tupo kwenye ndoa kwa miaka mitatu sasa.
Mwanzo kipindi tunaingia kwenye ndoa alikuwa ananipa haki yangu tena kwa ushirikiano mkubwa sana. Tatizo lilianza alipobeba ujauzito. Miezi ya mwanzo ya ujauzito hadi kufikia miezi saba tulikuwa tukishiriki vizuri tu. Ujauzito ulipofikisha miezi saba, tulipumzika hadi alipojifungua, na mtoto kutimiza miezi mitatu, nikaanza kudai. Zikaanza sababu mara mtoto bado mdogo mara naumia.
Nikaendelea kuvumilia nikadhani shida itaisha. Mtoto amefikisha mwaka ndo tatizo likazidi Ili nipate lazima nilazimishe sana, na wakati mwingine tukifanya hatoi ushirikiano kabisa. Nikaamuliza shida. Nini anasema hakuna tatizo; alikuwa anatumia sindano za kuzuia ujauzito Nikajua ndo sababu, nikamwambia aache.
Bado haikuwa solution. Nimewaambia ndugu zake kadhaa wamemsema, ikiwemo shangazi zake, lakini wapi? Nimejaribu kuchunguza mno kama anacheat, sioni huo uwezekano kwani yeye ni mama wa nyumbani anashinda home tu. Nafikiria kumtaliki, namuonea huruma mwanangu sana kuishi bila malezi ya wazazi.
Naombeni ushauri wakuu nifanyaje
Unajua haya maisha ni mafupi sana, ukianza ku focus na matatizo ya mtu mwengine kwanza kabisa yatakutoa mchezoni, then stress zitakuandama na lastly Furaha pia itapotea.Ana shida ya kisaikolohia, badili mazingira, mchukue nenda bae mbalii hata vacation, toka kwenye hayo mazingira
Jadililini kama wapenzi, haya mazingira yatamfanya afunguke
Huu uzungu unashamiriAna shida ya kisaikolohia, badili mazingira, mchukue nenda bae mbalii hata vacation, toka kwenye hayo mazingira
Jadililini kama wapenzi, haya mazingira yatamfanya afunguke