Mke anahitaji kushiriki tendo la ndoa mara ngapi kwa wiki?

Najiuliza hivi mwanamke ili asijione hapewi mambo kwa wiki anahitaji mechi ngapi?

Maana kazi nifanyayo inanila muda na muda mwingine nalala saa nane usiku.

Sasa najiuliza nitakapo oa mwanamke atakuwa anahitaji kupewa mambo kila baada ya muda gani kwa wastani?

Mkuu kwa week mara 3..Sema msosi uwe mzuri na mazoezi na hicho kitambi punguza
 
Kuhusu suala la kupeana hiyo kitu..Inategemea..

Kama ni wapya inaweza ikawa kila siku
Kama si wapya inategemea na Show unayoipiga...Kama unaipiga kisawasawa...dakika 30 ngoma ipo juu na magoli ukawa unafunga si chini ya mawili basi mwanamke anaweza akakaa hata siku tatu hatamani hicho kitu kabisaaa sababu unakuwa umemaliza zooote

Ila kama kishow chako ni kidogo tuu ukipanda hata dk 15 haziishi lazima ahitaji kila siku..la sivyo utamtesa na kusababisha maafa mengine kwa mwanamke asiyekuwa mvumilivu..

Najiuliza hivi mwanamke ili asijione hapewi mambo kwa wiki anahitaji mechi ngapi?

Maana kazi nifanyayo inanila muda na muda mwingine nalala saa nane usiku.

Sasa najiuliza nitakapo oa mwanamke atakuwa anahitaji kupewa mambo kila baada ya muda gani kwa wastani?
 
Najiuliza hivi mwanamke ili asijione hapewi mambo kwa wiki anahitaji mechi ngapi?

Maana kazi nifanyayo inanila muda na muda mwingine nalala saa nane usiku.

Sasa najiuliza nitakapo oa mwanamke atakuwa anahitaji kupewa mambo kila baada ya muda gani kwa wastani?

Wanawake wametofautiana, hakuna formula, formula unaitengeneza wewe mwenyewe dogo.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Utasaidiwaa ohooooooooo uvivu huooo

Nipo tayari kumsaidia maana mimi kila siku nagawa dose hapa kwa wife wangu tatu kutwa na zinabaki naweza hamishia kwa shemeji yangu huyo ambae ni mke wake plz advice him.
 
Kuhusu suala la kupeana hiyo kitu..Inategemea..

Kama ni wapya inaweza ikawa kila siku
Kama si wapya inategemea na Show unayoipiga...Kama unaipiga kisawasawa...dakika 30 ngoma ipo juu na magoli ukawa unafunga si chini ya mawili basi mwanamke anaweza akakaa hata siku tatu hatamani hicho kitu kabisaaa sababu unakuwa umemaliza zooote

Ila kama kishow chako ni kidogo tuu ukipanda hata dk 15 haziishi lazima ahitaji kila siku..la sivyo utamtesa na kusababisha maafa mengine kwa mwanamke asiyekuwa mvumilivu..

Inabidi nitafute namna ya wewe maana gemu zangu hadi 45-60 mins naona mi nawe twaweza wezana amaa?!?
 
......kwani sasa hivi huwa humli? anza kujiangalia sasa hivi,,,,, kama hujaanza kumkamilisha ujue unasaidiwa...... na ukiisha oa ukizembea watamla tena kwenye kitanda chako,,,,,, wewe jisababishie uvivu na kazi zako,,,,, tena ukiwa umechoka na kazi papuchi inanoga kweli,,,,,,usipajua kupakua, unapakuliwa wewe......kusi manje......
 
DUH!
Kupakuliwa tena?
 
fanyeni kila siku,cha msingi msibakane,i min wote muwe tayar kimwili na kisaikolojia,ku do raha.ila sasa kazi yako isiwe ndo kila siku hauko tayar kisaikolojia na kimwili koz ya uchovu,walah utagigidiwa mke.
 
Dinazarde kama anatabia mbovu kabla hajaolewa na haeshimu ndoa hata ucheze dakika 120 na mikwaju juu utasaidiwa tu

Mi hua napenda nimpe kila saa mme wangu ili akiwa matembezinii dudu inakua haina hamu
 
Muulize mkeo anahitaji afanye mara ngapi, sio kanuni kwamba kila mwanamke afanye kwa kiwango hicho.
 
Back
Top Bottom