tabibumtaratibu
JF-Expert Member
- May 29, 2011
- 2,414
- 1,216
unamuonea?? bora umuonee wewe kuliko mwanaume nwenzio amuonee...kila siku naona nitakuwa namuonea bure maana sita weza
unamuonea?? bora umuonee wewe kuliko mwanaume nwenzio amuonee...kila siku naona nitakuwa namuonea bure maana sita weza
nini tena mupenzi...
Mara moja kwa mwezi
Kinga ya ugonjwa gani???!!!
Du ni kweli maana hata akigonga kila siku na Kibamia atachokwa ni lazima atatafuta MandingoUtasaidiwaa ohooooooooo uvivu huooo
hili ndo jibu sahihi na nalikubaliWe mpe kila anapotaka!!!!
Unataka schedule ya nini???!!?
Atakuelewa nawe utamuelewa tu na hiyo kazi wala haitakuwa kikwazo ila sasa uwe busy na faida ionekane hoke sio wewe haupo na uwepo wako hauna faida!!!!!
supai ole koko....we mpe kila anapotaka!!!!
Unataka schedule ya nini???!!?
Atakuelewa nawe utamuelewa tu na hiyo kazi wala haitakuwa kikwazo ila sasa uwe busy na faida ionekane hoke sio wewe haupo na uwepo wako hauna faida!!!!!
usitetemeke bhana ilo ni ghorofa tu.....Avatar yako tu mie natetemeka tu hahahaha
usitetemeke bhana ilo ni ghorofa tu.....
ndio ni ghorofa, zuri eeh?Haya.......kumbe ghorofaaa!!
ndio ni ghorofa, zuri eeh?
sio kila siku tu, yani inakua kila mara...
Najiuliza hivi mwanamke ili asijione hapewi mambo kwa wiki anahitaji mechi ngapi?Maana kazi nifanyayo inanila muda na muda mwingine nalala saa nane usiku.
Sasa najiuliza nitakapo oa mwanamke atakuwa anahitaji kupewa mambo kila baada ya muda gani kwa wastani?