Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
daaah wadau mbona hizi mada zinatia hisia sana kwa sisi anbao bdo hatujaoa...
Kata mgomba uulalie
daaah wadau mbona hizi mada zinatia hisia sana kwa sisi anbao bdo hatujaoa...
Najiuliza hivi mwanamke ili asijione hapewi mambo kwa wiki anahitaji mechi ngapi?
Maana kazi nifanyayo inanila muda na muda mwingine nalala saa nane usiku.
Sasa najiuliza nitakapo oa mwanamke atakuwa anahitaji kupewa mambo kila baada ya muda gani kwa wastani?
Kila siku mbona kula tunakula kila siku
Mueleze aisee maana asije akabandika na ratiba chumbani
Mke anahitaji umt.o.mbe mara 50 kwa wiki ili asijute kuwa na wewe..