Mke anahitaji kushiriki tendo la ndoa mara ngapi kwa wiki?

Mke anahitaji kushiriki tendo la ndoa mara ngapi kwa wiki?

kila mtu na kiu yake! kila siku usiku tukingusana tu bahat mbaya napanda juu
 
Yaani wewe kijana sredi zako karibia zote hapa JF ni mambo y uzinzi na uasherati tu...
 
Kwa afya Mara mbili kwa mwezi inatosha hyo Mara mbili inabidi ufanye haswa ukate kiu yake inavyotakiwa
 
Kwa afya Mara mbili kwa mwezi inatosha hyo Mara mbili inabidi ufanye haswa ukate kiu yake inavyotakiwa

komeka mara mbili kwa mwezi halafu unaishia kupiga bao mbili ha ha ha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom