Mke anahitaji kushiriki tendo la ndoa mara ngapi kwa wiki?

Mke anahitaji kushiriki tendo la ndoa mara ngapi kwa wiki?

Kama tu chakula ambapo ukiwa na njaa unakula ndivyo ilivyo sex kwa wapendanao hasa kana wanakaa pamoja!!

Weekends hamna kuvaa chupi mnazunguka zunguka tu ndani uchi!!Popote ikisimamia game ni hapo hapo!!

Au wadau naongopa?
 
Mbuzi anakula urefu wa kamba yake. Inategemea pumzi zako
 
We mpe kila anapotaka!!!!
Unataka schedule ya nini???!!?

Atakuelewa nawe utamuelewa tu na hiyo kazi wala haitakuwa kikwazo ila sasa uwe busy na faida ionekane hoke sio wewe haupo na uwepo wako hauna faida!!!!!

Mueleze aisee maana asije akabandika na ratiba chumbani
 
Hii kitu inatokana pia na situation ikoje, wewe piga kadri mwili wako ulivyojaliwa kikubwa isiwe adhabu kwa mwenzako, mambo ya kuwa mbali na mkeo kikazi hiyo ni dharula na isirumike kama kigezo cha kupanga ratiba kabisa. Hakuna ratiba ni sawa na makamanda wengine wanaonuia kabisa leo akija bao tano alafu anaishia 2 wakati alitakiwa apige kadri mwili unavyotaka maana wengi ukitaka kugegedana huwa hatukubaliani bao ngapi inatokea automatic unapiga zile ambazo zipo recommended
 
Najiuliza hivi mwanamke ili asijione hapewi mambo kwa wiki anahitaji mechi ngapi?

Maana kazi nifanyayo inanila muda na muda mwingine nalala saa nane usiku.

Sasa najiuliza nitakapo oa mwanamke atakuwa anahitaji kupewa mambo kila baada ya muda gani kwa wastani?
Kila siku hasa kama huna kazi au uko likizo ila ukiwa na kazi mara 5 sio mbaya per week.
 
Najiuliza hivi mwanamke ili asijione hapewi mambo kwa wiki anahitaji mechi ngapi?

Maana kazi nifanyayo inanila muda na muda mwingine nalala saa nane usiku.

Sasa najiuliza nitakapo oa mwanamke atakuwa anahitaji kupewa mambo kila baada ya muda gani kwa wastani?

we mlinzi?
 
Mapenzi ni kama upele ukiwasha tu, unahitaji kukuna, kwa hiyo hiyo kitu haida idadi, inawezekana mkawa mnafanya kila siku ,asubuhi+mchana+jioni
 
Back
Top Bottom