malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,717
- 4,295
Mke alikuwa na maumivu usawa wa tumbo pembe tangu akiwa mjamzito, baadae akajifungua mtoto anamwaka na miez4
Baada yakujifungua Hadi Sasa mtoto ana 1.4yrs Hali ya maumivu mkalii usawa wa pembeni kidgo nakitovu na juu anakua anaumia halafu panavimba
Hali ikitokea anakaa katika maumivu nauvimbe masaa3 anapaka mafuta ya nazi panapoa na uvimbe kusinyaa
Sasa hii Hali imemtokea mara zaidi ya 7 katika mwaka
Majuzi likizo alikuwa Dar wakati anataka kutoka kurudi mkoani Hali ikamrudia, ikabid aende Muhimbili akaonana na Dkt. Colman, akaandikiwa ultrasound majibu yakawa ana hernia kuwa misuli imetanuka, akaandikiwa operation bahati mbaya jioni Yale akawa ana safari ya kurudi
Sasa karudi mkoani Hali imejirudia
Nauliza wakuu mkoani wanaweza fanya operation za tumbo kama hivo kwa kina mama wenye hernia? Au ndo mpaka Muhimbili
Je, operation yake huwa ikoje ya hernia kwa kina mama?