prince Ballack
Senior Member
- Mar 12, 2018
- 138
- 104
Mkuu kwako hiyo ni maajabu,
Hug doesn't mean anything
Hug doesn't mean anything
Yani jamani Leo nimeona kitu cha kunishtua kidogo! Mtu na shemeji yake mke wa kaka yake wanasalimiana kwa kukumbatiana.
Ajabu iliyoje, tena mbele ya mumewe, hivi huyu mwanamke ana akili kweli? Ku kumbatia shemeji yake mbele ya ndugu yake?
Sasa unaumizwa na nini?Duuh. Japo mim imeniuma sana
Unajua kuna umri fulani hivi hasa wa balehe balehe pale, mtu anakuwa na wivu wa ajabu sana hata kwa yasiyomhusu, nahisi ndio huyo jamaa anawewesekaSasa unaumizwa na nini?
Hahaaaa. Inabidi abadilike tu aisee sababu anakoelekea atafikia kipindi hata watu wa karibu wanaomzunguka ambao itakuwa nihalali yao kufanya hivyo ikitokea wamefanya mbele yake ya bado watakuwa wanamkera.Unajua kuna umri fulani hivi hasa wa balehe balehe pale, mtu anakuwa na wivu wa ajabu sana hata kwa yasiyomhusu, nahisi ndio huyo jamaa anaweweseka
Ni utoto tu unamsumbua akikua ataona kawaidaHahaaaa. Inabidi abadilike tu aisee sababu anakoelekea atafikia kipindi hata watu wa karibu wanaomzunguka ambao itakuwa nihalali yao kufanya hivyo ikitokea wamefanya mbele yake ya bado watakuwa wanamkera.
Hahahaa. Na kweli aiseeee.Ni utoto tu unamsumbua akikua ataona kawaida
Mmh! Hivi kukumbatia ni hatia? Ebu punguza ushamba bhana [emoji3] jaribu kwenda na wakati.Ahsante wew umenielewa
mmmh[emoji12] [emoji12]Ulitaka ukumbatiwe wewe?