Huwa inaanza kama utani lakini mwisho wa siku mambo hugeuka kuwa mambo,sikubaliani na huu ujinga hata siku moja ..Yani jamani Leo nimeona kitu cha kunishtua kidogo! Mtu na shemeji yake mke wa kaka yake wanasalimiana kwa kukumbatiana.
Ajabu iliyoje, tena mbele ya mumewe, hivi huyu mwanamke ana akili kweli? Ku kumbatia shemeji yake mbele ya ndugu yake?
Mwambie Huyo, Mimi mwenyewe nimekumbatia avatar yako wakati najua wewe mke wa Mtu. Na Hakuna tatizo.Mmh! Kwa kuwa mumewe kaona sawa we jirani stahmili tu kwa kweli.
Mbaya kama mumewe yasingemfaa kumbe yamemfaa we fanya yako hayo yao waachie wenyewe wenye mambo ya kidhungu.
Hahahaa. Jamaani Zombi lol.Mwambie Huyo, Mimi mwenyewe nimekumbatia avatar yako wakati najua wewe mke wa Mtu. Na Hakuna tatizo.
Kama wewe umeridhia basi Mwenye mali ameridhia, lazima umsupport mwenzio ati. Ngoja mi nipate kajoto Kako kidigitally.Hahahaa. Jamaani Zombi lol.
Mie sioni kama inakuwa nashida ikiwa mwenye mali ameridhia.

Hahahaaa. Haya bana ila angalia tu Zombi lisije likakulevya ukajikuta umekuwa teja yaani bila hako kajoto siku yako haiwezi kwenda. Teh.Kama wewe umeridhia basi Mwenye mali ameridhia, lazima umsupport mwenzio ati. Ngoja mi nipate kajoto Kako kidigitally.![]()
![]()
![]()
Mimi sio mlafi polepole ndio Mwendo. Ni starter tu ya kuanzia siku. Siku inatakiwa kuanza na mambo Mazuri.Hahahaaa. Haya bana ila angalia tu Zombi lisije likakulevya ukajikuta umekuwa teja yaani bila hako kajoto siku yako haiwezi kwenda. Teh.

tukiwa chumban namwambia ukinizungua naenda kumpa tunda ndugu yako. Anacheka mwenyewe anasema bora ndugu ila usithubutu nikukute na mtu mwingine ndo utajua Tarime hatoki boya
.