Mke amkumbatia shemeji mbele ya mumewe

Mke amkumbatia shemeji mbele ya mumewe

glass amo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
3,847
Reaction score
4,677
Yani jamani Leo nimeona kitu cha kunishtua kidogo! Mtu na shemeji yake mke wa kaka yake wanasalimiana kwa kukumbatiana.

Ajabu iliyoje, tena mbele ya mumewe, hivi huyu mwanamke ana akili kweli? Ku kumbatia shemeji yake mbele ya ndugu yake?
 
Mmh! Kwa kuwa mumewe kaona sawa we jirani stahmili tu kwa kweli.

Mbaya kama mumewe yasingemfaa kumbe yamemfaa we fanya yako hayo yao waachie wenyewe wenye mambo ya kidhungu.

Duuh. Japo mim imeniuma sana
 
Jaman kuna vitu vingine mpkaa vinachoshaa kwa hiyo ngomaa sio yako unaivaliaa kibwaya ina huuu kama mumewe yupo hapo we chambilecho inakuuma nn??majirani wengine bwana bora ukae msituni peke yako kuliko kuishi karibu na watu kama ww!!
 
Yani jamni Leo nime ona kitu cha kunishtua kidogo.
MTU na shemeji yake mke wa kaka yake wana salimiana kwa Ku kumbatiana???
Ajabu iliyoje tena mbele ya mumewe.
Hivi huyu mwanamke Ana akili kweli????
Ku kumbatia shemeji yake mbele ya ndugu yake?
Eeeh wewe unaishi wapi kukumbatiana kwani kuna shida gani.Amelala naye kwani?
 
Sasa wew. Ukisema hivyo Ina maana unachochea usaliti
Huoni Kama hizo n dalili za kuanza kusalitiana?
 
Eeeh wewe unaishi wapi kukumbatiana kwani kuna shida gani.Amelala naye kwani?

Naishi kanyaga twende.
Mtaa was songa mbele.
Kukumbatiana ni ishara mbaya Sana kwa mtu ambae sio mumeo au mkeo
 
Yani jamni Leo nime ona kitu cha kunishtua kidogo.
MTU na shemeji yake mke wa kaka yake wana salimiana kwa Ku kumbatiana???
Ajabu iliyoje tena mbele ya mumewe.
Hivi huyu mwanamke Ana akili kweli????
Ku kumbatia shemeji yake mbele ya ndugu yake?
Mama mwenyewe huwa ananikumbatia mbele ya Mme wake
 
Back
Top Bottom