Mke amkumbatia shemeji mbele ya mumewe

Mke amkumbatia shemeji mbele ya mumewe

Unajua kuna umri fulani hivi hasa wa balehe balehe pale, mtu anakuwa na wivu wa ajabu sana hata kwa yasiyomhusu, nahisi ndio huyo jamaa anaweweseka
Hahahahha.
Nashindwa nikujibu nin
 
Wanawake sio was kujiaminisha ki hivyo aiseee
Si ndio mambo ya kizungu hayo ukileta ubishi unaambiwa acha ushamba mbona hujiamini, lakini pia mambo yakiharibika dalili zake hua ni hizohizo za watu kumkumbatia sweetie wako mbele yako mara utani utani mara imekua kweli
 
Umeonaeeeh???
Aslay mwenyewe yashamkuta. Wimbo hauna.
Lakin naona wadau humu wengi wadhungu
 
Back
Top Bottom