Mke amkumbatia shemeji mbele ya mumewe

Mke amkumbatia shemeji mbele ya mumewe

Ninachoona kwako ww udhaifu mno kihisia. Ukikumbatiwa tu ushaloa.
Ama wewe umeishia maeneo gani TZ hii.
Yani mjini nimekuja juzi juI tu. Lakin kwa hichi kitu so cha kawaida
 
Tatizo we unawaza tendo tu. Badilika!!!! Kwani hata kama ni mkeo, kila ukimkumbatia ni lazima umpe/mpeane??? Ukija huku niliko unaweza ukazima kabisa wewe. Maana ndo taratibu zetu

Duuuuh.
Wapi huko mkuuu?
 
Labda utueleze wamekumbatianaje, mbona tunakumbatiana mara nyingi tu, kama mtu hamjaonana siku nyingi hug sio mbaya ila tu adabu iwepo.
Yani mtu Ana mkumbatia shemejie moja kwa moja mikono anaiviribgisha. Huoni hapo n uvunjifu wa aman ya moyo?
 
Yani mtu Ana mkumbatia shemejie moja kwa moja mikono anaiviribgisha. Huoni hapo n uvunjifu wa aman ya moyo?
Hapo kwenye kuviringisha mikono ndo tatizo,kukumbatiana kupo lkn kwa heshima. Na huyo mumewe ni boya.
 
Hapo kwenye kuviringisha mikono ndo tatizo,kukumbatiana kupo lkn kwa heshima. Na huyo mumewe ni boya.

Umeonaeee.
Yani tena no boya mkubwa Sana.
Japo mtaani anajionaga ndo mjanja wa kwanza.
Kwahilo limenisikitisha sana
 
Aiseeeee.......[emoji45] [emoji45]
Mdomo wangu umebaki wazi....[emoji47] [emoji47]

Hahahahahah. Kama kawaida yako.
Em Leo jaribu kuuufunga mkuuu.
Then leta mrejesho
 
Back
Top Bottom