Mke amkumbatia shemeji mbele ya mumewe

Mke amkumbatia shemeji mbele ya mumewe

Yani jamani Leo nimeona kitu cha kunishtua kidogo! Mtu na shemeji yake mke wa kaka yake wanasalimiana kwa kukumbatiana.

Ajabu iliyoje, tena mbele ya mumewe, hivi huyu mwanamke ana akili kweli? Ku kumbatia shemeji yake mbele ya ndugu yake?
We nawe!!! Wa wapi wewe? Cha ajabu hapo nini? Mbona kawaida. Ungekuta anamkumbatia Ba Mkwe si ndo ungechanganyikiwa kabisa
 
Huyu ni mshamba sana.
Karne hii unashangaa kukumbatiwa mbona ni kitu cha kawaida mnoo tena sana.
Kanisani tu watu huwa tunakumbatiana ndugu zangu hata dada zangu tusipoonana muda mrefu tukionana tunakumbatiana. Unajua maana yake lakini..
 
Naijua lakini sio kumfanyia shemeji yako.
Kumbuka yule n mke wa nduguyo. Je ukimtaman
 
Back
Top Bottom