Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,367
- 100,408
Thread nyingine kichefu chefu
Huenda wenyewe wanajua kinachoendelea,huenda kaka mtu kaoa lakini injini haiendeshi GARI,Mdogo MTU ndio Dereva huwezi jua.Vijana Wa mjini wengi hamjui,lakini tuliokulia swekeni tunajua,kaka au mdogo mtu anaweza kuozeshwa MKE lakini mzalishaji ni mmoja kati yao,na mambo yanaeda na ni siri ya familia.Msitake kudodosa kwenye nyumba za watu myaonayo waachieni wenyewe wananduguYani jamani Leo nimeona kitu cha kunishtua kidogo! Mtu na shemeji yake mke wa kaka yake wanasalimiana kwa kukumbatiana.
Ajabu iliyoje, tena mbele ya mumewe, hivi huyu mwanamke ana akili kweli? Ku kumbatia shemeji yake mbele ya ndugu yake?
Yani jamani Leo nimeona kitu cha kunishtua kidogo! Mtu na shemeji yake mke wa kaka yake wanasalimiana kwa kukumbatiana.
Ajabu iliyoje, tena mbele ya mumewe, hivi huyu mwanamke ana akili kweli? Ku kumbatia shemeji yake mbele ya ndugu yake?
Huenda wenyewe wanajua kinachoendelea,huenda kaka mtu kaoa lakini injini haiendeshi GARI,Mdogo MTU ndio Dereva huwezi jua.Vijana Wa mjini wengi hamjui,lakini tuliokulia swekeni tunajua,kaka au mdogo mtu anaweza kuozeshwa MKE lakini mzalishaji ni mmoja kati yao,na mambo yanaeda na ni siri ya familia.Msitake kudodosa kwenye nyumba za watu myaonayo waachieni wenyewe wanandugu
Naam kaka, unaokota dhahabu ndani na unaihifadha hapohapo ndaniHahahaha.
Kwahiyo unaweza ukaokota dhahabu ndani?
Na ukimuamsha alielala...........Hahahaha.a
Kweli asie jua maana usi mwambie
Yani jamani Leo nimeona kitu cha kunishtua kidogo! Mtu na shemeji yake mke wa kaka yake wanasalimiana kwa kukumbatiana.
Ajabu iliyoje, tena mbele ya mumewe, hivi huyu mwanamke ana akili kweli? Ku kumbatia shemeji yake mbele ya ndugu yake?
Hiyo ndio raha ya kumbatio mkuu. Ha mimi napenda prolonged sessions za kukumbatiana na dem ili ni feel nyonyosMimi matiti yakinigusa tu kifuani nadinda