Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,193
- 3,957
Mwanamke mmoja aishie nyasaka jijini Mwanza amekutwa kajinyonga kutokana na msongo wa mawazo baada ya kumpoteza mumewe ambaye alipigwa risasi tarehe 29 October na kufariki.
Mwanamke huyo ameacha watoto wanne bado wadogo wanahitaji malezi ya wazazi wao lakini wazazi wao hawapo tena dunia.
R.I.P KWA WOTE WALIPOTEZA MAISHA YAO ILI WATU WACHACHE WAJINUFAISHE NA HII NCHI.