deo paul555
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 1,405
- 529
Habari wadau,kumekuwepo taarifa kua mkataba wa kisheria ukiwa na dosari unakosa uhalali wengine wanadai unaweza kua na dosari lakini bado uko sahihi je hili likoje?
Wakili umetumia lugha ngumu mno hebu nijuze kwa lugha rahisi tafadhariInategemea ni dosari ya vipi. Dosari katika mkataba inaweza kufanya mkataba huo kuwa VOID, VOIDABLE, ILLEGAL au UNENFORCEABLE.
naungaa mkonooInategemea ni dosari ya vipi. Dosari katika mkataba inaweza kufanya mkataba huo kuwa VOID, VOIDABLE, ILLEGAL au UNENFORCEABLE.