Mkataba wa TRL (TRC)

Sasa katika suala hili nani kashikilia mpini Rites au Serekali? Kama ni serekali kwanini wasivunje mkataba na kutoa hiyo hela ya maafa tukajua Moja?
Hiyo ingeleta economic sense, na Social sense.
Kuhusu kufikiria Big, mimi ninafikiria plan ya 5 years na kuendelea siyo hiyo ya siku moja. Juzi juzi tu hapa treni ilikuwa inaanzia Dodoma, je serekali hawakuona tatizo kwa usafiri kwa hao watu wa Tabora kigoma, shy, Mza.
Mbona waliacha hali hiyo kwa muda mrefu?
au ndio katika kutafuta justification ya kuwaingiza RITEs.
Na unavyo inject money lazima uangalia baadae itakuwaje, sio una inject money kwenye pipa lilotoboka, unless wewe ni kichaa.
Everything have it's limit au wewe huna hili neno LIMIT na Assesssment of the situation.

August, angalia hapa:
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=11723

Hilo lilikuwa linaitwa "Pre-planned Move" Mkulu.......

Mods.... Hii nadhani ingesogezwa kule kwenye nanihiii (http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=11723)
 
Huu ni uhuni ambao huyu kasheshe hawezi kuuona leo atauona mpaka mambo yakiharibika.

waziri mkuu wakati wameingilia kati mgomo wakaahidi kulipa pesa za mshahara kwa kiwango hicho leo anarudi kuwapa pesa za kulipa makubaliano ya kwanza yalikuwa hayajulikani ama walikuwa hawajui zitakazolipwa ni pesa ama?

shame on you PINDA!!!
hakuna waziri mkuu hapa tumechemsha huyu naye bomu tu.
 
jamani jamani hivi kuna hitaji waziri mkuu ashangae mushkeli wa mkataba chenge si yeye na kikwete ama kuna ufundi wa maneno umetumika tena hapa?

pinda anajikosha hana lolote!
nawambia watanzania huu mkataba ni hovyo kuliko yote ili muamini hilo sasa pesa zinamwagwa juu ya capacity charge ya kila siku. uliwahi kuona wapi? nanai anasaidiwa hapa TRL ama wafanyakazi ama wamcheo wa paka.

pinda itisha wote wakupe maelezo ama sivyo simamisheni hao TRL hakuna kitu usituletee stori za kushangaa wewe ni PM tekeleza sio stori za kikwete

shame on yo PINDA , unalalamika na wewe sisi tufanyeje sasa?
 
Sasa Kama Hata Pres Alishawatetea Hawa Jamaa Mnategemea Atakula Matapishi Yake Mapema Hivi??si Anazuga?but Time Will Tell Hawa Wasanii Wamekuja Bila Hata Senti Tano Yao...wataondoka Na Bulungutu Na Fidia Kibaoo Mkija Stuka Na Kuwafukuza.......keep Waiting
 
Waanzishe kesi nyingine kutaka kuvunja mkataba itakayowagharimu mamia ya mamilioni ya shilingi huku wakisaini mikataba mingine mibovu, ambayo itakuja kugunduliwa baadaye na wakuu wengine watakaoanzisha kesi nyingine kutaka kuvunja mkataba itakayogharimu mamilioni ya dola, day in day out.

Kusaini, kuvunja, kusaini, kuvunja.

as long as some people get their 10% who cares if Tanzania loses billions of dollars.

That is where we are, plain and simple.
That is the brutal truth!!
It hurts though... but who's to do something for this poor Tanzania???
Damn!!
 
mtapiga keleele sana tena za shangwe ile ilikua ni kuwapoza wafanyakazi waendelee na kazi kwani hata Pinda ina muhusu kule mpanda
 
Jamani,

Nakumbuka tulilijadili hili kabla jamaa hawajapewa huu mkataba. Ninakumbuka vizuri sana. Sikumbuki ni hapa au TEF au Bsc, ila tuliujadili.
 
Blame it on Nyerere! He brought us all these miseries and misfortunes!;)

Duh leo umeongea ambalo sikutegemea mtu anaweza kuongea.Hivi kumlaumu mtu inahusika vp ktk kutatua matatizo.Sema kifanywe nini ktk swala hili lilopo mbele.Na tutazuiaje yasitokee mbeleni mambo ya kibabaishaji yanayoitia hasara taifa ,tusitumie muda mwingi kuponda mtu au kumsifika .
"When you blame others, you give up your power to change". — Dr. Robert Anthony
 
Mutu,
Sii Nyerere ndiye aliyetaifisha reli na Ujamaa wake..labda chini ya Muingereza tungekuwa tunapeta.. haya maswala ya kudai hata UHuru inaonyesha tumlaumu Nyerere maanake kiloa siku tunatoka kapa! na hawa kina Chenge wanafunzi wake wa Kigamboni.
Baba wa taifa ndiye aliyepanda mbegu!. kwii kwii kwiii!
 
Kasheshe is right!!!

Government inaangalia umuhimu wa huu mradi ndio maana wanaweza kufanya re-allocation..

Hapa hamna kitu, sababu mkopo wa 3.6 B sio fedha za kutisha compared na tatizo na umuhimu wa mradi..Ila hapa kuna maneno ohh, matapeli au tunaibiwa!! oh, kwa nini...Solution = 0..Watanzania tumekuwa weepesi wa kuongea na kulaumu..Mlitaka wake tu.

Alafu zamani kumuita mtu neno chafu ulikuwa unafikiria kwanza, sasa hv kila kitu usanii...hoja endelevu ????
 
Kasheshe is right!!!

Government inaangalia umuhimu wa huu mradi ndio maana wanaweza kufanya re-allocation..

Hapa hamna kitu, sababu mkopo wa 3.6 B sio fedha za kutisha compared na tatizo na umuhimu wa mradi..Ila hapa kuna maneno ohh, matapeli au tunaibiwa!! oh, kwa nini...Solution = 0..Watanzania tumekuwa weepesi wa kuongea na kulaumu..Mlitaka wake tu.

Alafu zamani kumuita mtu neno chafu ulikuwa unafikiria kwanza, sasa hv kila kitu usanii...hoja endelevu ????

.. solution is to sign contract na matapeli then our tax money kick to bail out the damn thief and their 10%...f***k that!
 
Duh leo umeongea ambalo sikutegemea mtu anaweza kuongea.Hivi kumlaumu mtu inahusika vp ktk kutatua matatizo.Sema kifanywe nini ktk swala hili lilopo mbele.Na tutazuiaje yasitokee mbeleni mambo ya kibabaishaji yanayoitia hasara taifa ,tusitumie muda mwingi kuponda mtu au kumsifika .
"When you blame others, you give up your power to change". — Dr. Robert Anthony

Mutu,

Angalia usishangae sana ukashangaa feri. Watanzania sasa hivi kuharibika kwa kila kitu tunageukia uumbaji wa Tanzania, tunamlaumu Adamu wetu kwa kula pera la Uhuru kujua mema na mabaya. Kwani hujaona kwenye hizo mada mbili kuhusu Mwalimu Nyerere, kila kitu kinasemekana Mwalimu ndio Olduvai Gorge, Zinjanthropus bosei, Alpha na Omega wa msoto Tanzania!
 
Toka lini mhindi akawa muwekezaji.Kwanza ni wanyonyaji,wakandamizaji,wana zarau.
Ebu imagine badala ya kufufua engine zilizopo wanaenda chukua za kwao.Yale yale ya URAFIKI ata pamba wakati mwingine wanaagiza toka kwao ati yetu haina ubora.Kumbe to them wanagain forex na mwisho wa mwaka wanaonyesha wamepata loss thus gvt haiambulii gawio lolote.10% izi zitzimaliza nchi jamani
 
Nimewapata Yaani watakuwepo kwa miaka 25???!!!!!!! watawekeza mabillioni mangapi mpaka wawepo kwa miaka 25!!!!??? Duh Tanzania? au sielewi au sijasoma mkataba??!!

Tanzania Railways Corporation
The Tanzania Railways Corporation (TRC) is a state-owned enterprise that runs a railway net that once was part of the East African Railways Corporation (EARC) operating in Kenya, Uganda, and Tanganyika. The gauge is 1.000m and the total length is about 2,600 km. Two east-west lines from the coast to the hinterland were initiated when the country was under colonial rule as German East Africa. The Central Line runs from Dar es Salaam to Kigoma, and the Tanga Line from Tanga to Arusha. A north-south connection links both lines. The mainline has further branches, one to Lake Victoria where through wagon ferries a connection exists to the Uganda Railway. From the Tanga line a connection goes north to Kenya to link to the Kenya Railway Corporation.

There is a break-of-gauge at Dar es Salaam to the Tanzania-Zambia Railway Authority (TAZARA) that at 1.067m links to Zambia.

Privatisation
The Rites Consortium of India won the bid awarded by the Parastatal Sector Reform Commission (PSRC), to operate passenger and freight services on a concession basis for 25 years.



Hizo ni baadhi ya vitu tulivyozungumzia huko nyuma
 
Flash back....................

2006-10-26 09:13:04
By Judica Tarimo and Gadiosa Lamtey


Talks between government and strategic investors on the formal handing over of the Tanzania Railway Corporation (TRC) are scheduled to re-start immediately, Infrastructure Development Minister, Andrew Chenge has confirmed.

"We don't want these talks to go on, and on?our railway facility is under pathetic condition. We are losing a lot of money," said Chenge.

TRC was to be handed over to the strategic investors, M/S Rites Consortium of India last month following talks that commenced in August this year.

"We want to enter into a contract that would benefit our people and the country," Chenge said in an exclusive telephone interview yesterday.

The government, through the Parastatal Sector Reform Commission (PSRC), concessioned Rites Consortium to operate TRC on a lease-contract of 25 years.

However, the negotiations have not so far been fruitful despite the government's initial assurance that the agreement on the handing over of the facility would have been signed last month.

The government's struggle to strike a win-win position, the minister said, was the reason behind the delay in the schedule on the signing of the contract and the eventual handing over.

However, fresh talks with the investors from India, the minister said, would start after Eid El-Fitr celebrations but declined to specify when the facility would be handed over to the investors.

"We need investors to come in as soon as possible to repair the lines and the facility as a whole, to ease transportation of cargo to other countries," observed the minister.

Chenge said the government is optimistic that, once in the hands of investors, transportation of cargo to Rwanda, Burundi, Democratic Republic of Congo (DRC), and others, could generate a lot of money for the country.

He insisted that it is the pursuit of favourable terms that compelled the government to extend the signing of the agreement to officially hand over TRC to the investors last month.

Even though, it is not clear if the agreement would be able to finalise the talks with the investors in the forthcoming talks.

"I cannot confirm this but we want this deal to be finalised as soon as possible," he said.

According to TRC Public Relations Manager, Shukuru Sudi, the public utility firm was losing millions of shillings in telephone wire vandalism and sabotage.

She said that between January and December last year, some 357 kilomentres of wire worth 71,191,000/- was stolen.

During the same period, a total of 421 telephone poles with a street value of 31,996, 000/- got lost.

TRC has 91 locomotive engines. However, owing to lack of spare parts, accidents, and other factors, the company is left with 53 operational locomotive engines.

''We had 95 passengers' wagons, but financial crisis had failed TRC to purchase spare parts to repair the equipment. This has forced us to abandon about 41 problematic wagons," said Sudi.
 
Another flash back...............

2006-08-31 08:00:29
By Judica Tarimo, Sandau Laizer


The signing of a lease agreement to run Tanzania Railway Corporation (TRC) to a concessionaire has been put on hold to pave the pay for further consultations.

''We have put on hold the conclusion of TRC privatisation pending further talks to thrush out the finer details,'' Minister for Infrastructure Development Basil Mramba told a news conference in Dar es Salaam yesterday.

Representatives of the Indian firm and the government held a closed door meeting, which the minister said was working out the modalities of the imminent lease.

After a thorough scrutiny, the government through Parastatal Sector Reform Commission (PSRC) announced M/S Rites Consortium of India as the concessionaire in the 25-year contract to run the 2,715km TRC infrastructure.

The government announced on March 6, this year, the Indian firm's bid was the most competitive. Consequently, the infrastructure would have been handed over to the investors this Saturday (September 2).

''Handing over will not take place as planned because talks with the investors have not been concluded,''said Mramba.

''But there are hopes that the agreement will be signed between September and October to allow the investors to start operations,'' he said, but declined to speculate on the date.

He admitted that the signing of the agreement had taken a long time because the government wanted to protect public interest.

''We want to be careful as much as possible to ensure that we don't repeat past mistakes in the privatisation of other government utilities,'' the minister noted.

''The government is looking for a win-win situation. That is why we delayed to sign the agreement,'' Mramba added.

M/S Rites Consortium officials arrived in the country on Monday this week and have been locked in talks with the government ever since.

The minister said a new date for the transfer of the infrastructure to the concessionaire would be fixed once the talks are concluded.

He appealed to TRC workers to be calm as the government had already set aside 50bn/- to cover their retrenchment.

''TRC staff should not be worried because the government will respect their current terms of employment,'' he said.

''Other arrangements for paying terminal benefits would be announced later,'' he added.

But Mramba declined to give details of the government's stake in the contract and the number of TRC workers lined up for retrenchment. He said the issues were the subject of ongoing negotiations.

The minister dashed hopes of resumption of train services between Dar es Salaam and Dodoma soon.

He also said the government had suspended passenger and cargo services to the country's designated administrative capital from Dar es Salaam due to the lack of wagons, locomotive engines, spare parts and dilapidated infrastructure, among other things.

''The government is cash-strapped and cannot purchase new wagons and engines; we (TRC and the government) are in a financial crisis," the minister said.

Following the suspension, passengers who depend on TRC for affordable transport services are forced to use road transport to Dodoma.

SOURCE: Guardian
 
Concessioning of Tanzania Railways Corporation (TRC)

--------------------------------------------------------------------------------

INVESTORS FLYER FOR THE TANZANIA RAILWAYS CORPORATION CONCESSION

Since 1992 the Government has been implementing a systematic reform program encompassing a broad range of Government functions and undertakings. The main focus of the Government's overall strategy for parastatal sector reform has been on improving the operational efficiency of parastatals, reducing the burden of these enterprises on the Government, expanding the role of the private sector in the economy, and encouraging a wider participation of people in the ownership and management of business in Tanzania by eliminating state monopolies and facilitating market competition.

The primary objective of the Government in relation to TRC is thus to create a financially viable railway that provides an efficient and cost effective service to its customers, whilst retaining ownership of national public service assets and safeguarding national interests.

In May 2001 the Government decided to concession TRC as a vertically integrated Concession without open access. The Concessionaire will be granted an exclusive right, with the exception of Trans Africa Railways Corporation's (TARC) access rights, during the twenty-five year Concession Term to operate Rail Transport Services on the Railway Network.

The TRC concession offers a strategic entry point into the East African logistics network. The Preferred Bidder will use the existing rolling stock as well as the metre-gauge network of track which extends across Tanzania, with connections to the Kenya and Uganda networks to the north and TAZARA to the south. TRC represents a strategic base with the opportunity to expand in local and transit rail markets, as these and other government-owned businesses are offered for sale/concessioning. Freight traffic carried by TRC has grown by 7% in 2002 and would have grown more had it not been because of capacity constraint. TRC has a strong base from which to work to continue to grow and develop its regional business. The structure of the concession allows for the Concessionaire to: operate freight and passenger services throughout the rail network; acquire the obligation to use, manage, maintain, operate and develop the Railway Network over the life of the 25 year Concession Term; earn access fees from other rail operators; and acquire the interests in the commercial contracts with customers and suppliers that are current at the time of handover of the Concession Activities.

Three (3) Bidders were fully prequalified:

Prequalification Status Group
Fully Prequalified NLPI/Spoornet
Comazar/Bollore/Caspian/Sheltam-Mvela/Rand Merchant Bank
RITES/GAPCO/UTI Bank

The Request for Technical and Financial Proposals (RFP) was issued to Bidders on June 24th, 2004. The deadline for receiving Proposals is April 13, 2005 and the concession Commencement Date has been set for November 2005.

For further information please contact:

Peter Kieran
CPCS Transcom
tel: +1 (613) 237-2500
fax: +1 (613) 237-4494
pkieran@cpcstrans.com

TRC Network Existing TRC network:
2,707 route kilometres of metre-gauge track
Traffic (Year 2000) Freight:
Passengers:
1.35 million tonnes
625,000
Revenue (Year 2000) Freight:
Passengers:
53.1 (USD million)
7.4 (USD million)
Rolling Stock Locomotives (total/operational):
Diesel-electric mainline locomotives:
Diesel-hydraulic branch line locomotives:
Diesel-electric shunting locomotives:
Diesel-hydraulic shunting locomotives:
116/94
61
25
20
0
Privatisation Schedule Issue RFD:
Bidders' Conference:
Second Biddersd' Conference
Proposal Submission Date:
Commencement of Concession:
June 24, 2004
August 8-19, 2004
January 19-20, 2005
April 13, 2005
June, 2005


Please check back for updates!

--------------------------------------------------------------------------------
CPCS Transcom
72 Chamberlain Avenue
Ottawa, Ontario, Canada K1S 1V9
Tel: (613) 237-2500 Fax: (613) 237-4494
email: ottawa@cpcstrans.com

Haya tunaweza kuendelea....
 
Back
Top Bottom