kuna simu za line mbili hadi za 30000 unapata
He he watz MNA helaaaa duhh watu mshaingia kingi
Mpatanishi na wengine,Habarini za jioni nimeshindwa kuwataja wote niwieni radhi, sijawahi kumtapeli mtu na sidhani kama nitakuja kumtapeli mtu hata kama shida zitanibana kiasi gani, kuna vitu nimevisoma nimeshangaa sana lakini pia mniwie radhi niliowashangaa kwa comment zenu, nimechelewa kujibu coment zenu maana mpaka niende kwenye internet cafe, kwa wale waliojitoa kunisaidi na kutaka kupata uthibitisho, nikuwa mwaka jana nilifanya mtihani wa QT kidato cha pili kwa jina langu hili halisi Mbaga Michael kwa namba M1791-0019 katika kituo cha Mvumi Mkulu Secondary School Centre, ingia katika tovuti ya Necta tafuta yalipo matokeo ya QT tafuta hicho kituo utaona jina langu, ila kwa mtihani wa kidato cha nne nitajisajili katika shule ya Dodoma Secondary, kwa hivyo sasa wale wanaojaribu kupotosha kuwa sijui niliwatapeli niliwatapeli vipi? sina haja ya kujibizana nao kwa kifupi ndo hivyo, kwa wale mlioko dodoma nipigieni simu yangu hiyo hapo juu ili kupata kile kinachowatatiza ahsanteni sana, nipo dodoma nitafuteni tukutane.
Mtoto mdogo anapangilia maneno na kuandika kwa hekma kiasi hiki? ..kweli katoto haka? Si kwweli. Naungana na wanaomtilia shaka!.. hata hivyo mi siwaamini sana watu wanoomba msaada kwa watu wasiowajua...wengi ni matapeli mnaopenda kutapeliwa enndeleeni.

Kweli kabisa waa si uongo, huna pesa za school fees, utumie simu za line mbili? inaingia akilini mwako?
Kwangu naona ni utapeli tu, kama wewe inakuingia akilini unaweza msaidia. Ruksa.
Mbaga wewe ni tapeli mwandamizi.
Mtoto mdogo anapangilia maneno na kuandika kwa hekma kiasi hiki? ..kweli katoto haka? Si kwweli. Naungana na wanaomtilia shaka!.. hata hivyo mi siwaamini sana watu wanoomba msaada kwa watu wasiowajua...wengi ni matapeli mnaopenda kutapeliwa enndeleeni.
Mi nimeshamaliza hapo,wenye upeo watakuwa wamenielewa.
We ni mpigaji mkuu,bora ubadili mwelekeo tu,la sivyo nitakuumbua.
Nafikiri wenye upeo mmeanza kunielewa.
Kuweni makini mkuu,dunia hii ina mambo mengi.
Tafadhari Mbaga Michael rudi jukwaani ili uje kukanusha hizi tuhuma dhidi yako, ukimya wako unasababisha wanajf wawe na mashaka na wewe.