Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,533
- 1,936
Hv mods wameshindwa kuthibitisha hii insue?
Hv mods wameshindwa kuthibitisha hii insue?
teh teh kwani mod wanaishi dodoma hehe mjini shule, tyeena mjini hakuna mashamba ati.
Mkuu utakuwa umefananisha majina.
Nakumbuka Mh. Michael Mbaga aligombea udiwani Upanga Magharibi Jiji Dar kupitia CCM akapita, kwa hiyo hawezi kuwa huyu kijana!
Kulikua na group kabisa FANIKISHA USHINDI WA Mbaga Michael. hii thread imenifanya niwaze sana, btw napenda sana vijana wenye kiu ya elimu nipo tayari kumchangia endapo Mods watathibitisha ukweli wa ombi hili kama wadau walivyo omba.
Mkuu utakuwa umefananisha majina.
Nakumbuka Mh. Michael Mbaga aligombea udiwani Upanga Magharibi Jiji Dar kupitia CCM akapita, kwa hiyo hawezi kuwa huyu kijana!
amenishangaza! Kutoka kwenye harakati za kugombea ubunge hadi QT,hii haiwezi ikawa sirias,labda km wanafanana
Unatumia multiple ID's au mchongo huu mpo mtu mbili?mwache muhusika ahojiwe na uma.
Multiple ID's za kazi gani mkuu, yaani kukanusha kwamba Bw. Mbaga ambaye alikuwa akigombea Udiwani Upanga Mashariki siyo huyu Jamaa ndiyo umeamua kuni-suspect kwamba natumia ID mbili?
Jaribu kuwa matured kidogo.
hapana yeye alikuwa anampango wa kugombea ubunge,huko mwanza na alikuwa mwanafunzi wa chuo.
Mi nimeshamaliza hapo,wenye upeo watakuwa wamenielewa.
Watu wengne hawajielew.una ktu kwann usseme badla yake unaandka kmafumbo.tenaaaa, unashndwa tolea ufafanuz unajazA comment za ubsh tu.hebu kuwa serious kama wewe ulsoma mwenzio ndo huyoo anataka asome acha uchz.
Dogo Michael utakuwa mdogo wangu coz nam naitwa ........Michael. ngoja taarfa zkamlke then takuchangia Mungu atie wepes usome mtoto wa baba.pole sana, hayo ndo ya dunia.
Lulu..
amenishangaza! Kutoka kwenye harakati za kugombea ubunge hadi QT,hii haiwezi ikawa sirias,labda km wanafanana
Ila kama mnatoa hitimisho kwa kuangalia majina facebook then unahitimisha ndo mwenyewe, sio sahihi.Majina fb yanafanana mengi...hapana yeye alikuwa anampango wa kugombea ubunge,huko mwanza na alikuwa mwanafunzi wa chuo.
Unamfaham kwa sura huyu mtu,I mean mmeshawahi kujumuika pamoja katika event yoyote?Picha lenyewe ndio hili.
Haya madai hapo juu ni sahihi,na unatumia jina hilo facebook.Thibitisha japo umesema toka mwaka jana upo Dodoma na kituo chako ni Mvumi sec center...Imeniuma kweli ila uhakika ukitolewa nitachangia.WANAJFmimi ni mdogo wako, mwanao, rafiki yako, jamaa yako n.k nakuombeni msaada wenu wa hali na mali niweze kumaliza elimu yangu hii ya kuungaunga nimalize hta hicho kidato cha nne mpaka sasa toka mwaka jana nifanye mtihani sijarudi shule, nisaidie chochote kile nifanikishe malengo yangu, natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa kwenu kwa wale mtakaosoma na kuguswa na jambo hili.Ahsante Mungu
Huyu Mbaga Michael ni tapeli aliwahi kuomba mchango wa kumtibia babake kule facebook 2011, alidai kalazwa bugando hutu.
Nafikiri wenye upeo mmeanza kunielewa.
Mkuu weka ukweli hadharani maana wewe ndiyo mtu wa kwanza kumsemea vibaya huyu Mbaga Michael
Na kama unadanganya kwa kukusudia ili asipate msaada basi utahukumiwa kwa hilo,..
hapana yeye alikuwa anampango wa kugombea ubunge,huko mwanza na alikuwa mwanafunzi wa chuo.
Mkuu watu wengine wan
yao basi tu, mimi tangu 2012 nipo dodoma ilo tukio nilifanyaje wakati
nilikuwa huku