Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,354
Kuna siku niliwahi kumpa binti lifti ndani ya dakika 15 hadi kufika mjini nilielezwa "shida na mikasa ya Maisha" karibia niingie mkenge.... Nilikuja kushtuka masaa kadhaa baadae nilipomkuta baa anachapa kilaji, wakati aliniaga anaenda Dar haraka, mume wake yuko rumande...