Mkasa wa maisha yangu

Mkasa wa maisha yangu

Status
Not open for further replies.
ILA mimi nina kinyongo na baadhi ya watu hapa JF mwanzoni nilijua sote ni ndugu ndo mna huwa hata kama mtu una tatizo unakuja hapa unashauriwa na hatimaye unasolve tatizo
HILI JAMBO lililomkuta DOGO na wengine kuanza kuandika yao si mageni na yalinikuta binasfi na nilijuta kama itatokea siku yoyote nikwame sehemu iwe safarini au kibinadamu nije kuelezea hapa eti watasaidia wapo wenye mioyo yao lakini kuna viatu pia.IMAGIN umejielezea sana na upo katikati ya shida unaomba msaada mtu anaanza kukujudge mwandiko kwa nini kwenye r umeweka l utakuwa mwongo wewe.....AISEEEE! This if Jf of now DAYS! FULL OF WONDERS AND HEARTLESS PEOPLE!
 
Tatizo watz hatuaminiki. Ni ngumu kutofautisha tapeli na muhitaji wa ukweli.
 
View attachment 169337
Nimejaribu kuzoom kidogo picha yako kijana, kweli unaonekana una mawazo,pole sana!

View attachment 169338
Hapa ni enzi zile uko kwa mjomba shinyanga?

View attachment 169339
Pole sana, mungu atakusaidia

View attachment 169340

Naona na kabibiem, mambo ya mawasiliano muhimu.

View attachment 169341

Hapa naona kasalio ulikuwa unakatamani ukaona utupiemo hata kapicha.

View attachment 169342

Ih, hapo ulinena ukweli tupu, fuata ujumbe huu.

FAFANUA HIZI Picha na mhusika inakuwaje na hizo pesa hapo chini!
 
Tatizo watz hatuaminiki. Ni ngumu kutofautisha tapeli na muhitaji wa ukweli.

BEST unachosema ni kweli lakini katika hali ya userious utajua tu!...halafu eti hizo picha za huyo dogo MICHAEL hapo chini umzielewa?...kama ulivyosema unashindwa kutofautisha...sasa kama mtu tapeli kwa mtu anayemjua ni vizuri kuthibitisha mapema ukianza kuzunguuuuka inakuwa sio vyema....nifafanulie basi..angalia picha za michael zilizotumwa hapo juu!
 
Mbaga Michael Hakuna aliyekataa kukusaidia, tumejitokeza humu tupo ready kukupa msaada.
Ni Vizuri ukadhibitisha haya
1. wewe ni Mbaga Michael wa facebook
2.ulitangaza nia kugombea ubunge?
3.sasa hivi dodoma unakaa kwa nani?
4.ni msaada wa sh ngapi unaokidhi hitaji la ada?
5.usajili kwa watahiniwa binafsi kwa mwaka huu si umeshafungwa? au unataka kujisajili kwa mwakani?
6.je unadhani kuna kitu kingine unahitaji kusaidiwa mbali na ada?

Eleza vizuri usaidiwe jamii ya Jf ni kubwa. Together We Can.
 
Last edited by a moderator:
Anae mtetea huyo kijana ana upungufu wa upeo ngoja tuone..huo mpangilio wa mane no tu ni wa kitapeli kama vipi aliye Dodoma afuatilie ada tulipe shule moja kwa moja
 
Kajisajili zaidi ya mara tano humu anajibu mapigo kwa nyodo..mpigaji mkubwa wee
 
keshajibu na yule mtu aliyeko DODOMA ameshamwambia waonane na ampigie simu...pengine muda huu au kesho mipango ya shule au chochote inafanyika...ila kuna watu humu JF hawapaswi kuwepo...wamekuwa ni vikwazo sana kwa wengine...sijui ni kwa nini...eti mtu unamtuhumu unaombwa kuthibitisha hutaki...sasa si ungekaa kimya!some time you have to behave like mature person!

Huyu Mbaga ni tapeli kwanini hamtaki kuelewa,au hadi muibiwe ndio mtaamini
 
Mbaga Michael na mbebez wa ukwee..
 
Attachments

  • 1404712373834.jpg
    1404712373834.jpg
    19.1 KB · Views: 173
Na matumizi ya bbm anatia simanzi kweli..huduma ya mtandao hadi aende internet cafe maskiniiii
 
Mbaga Michael,inakuwaje unaamini katika serikali mbili, huku ukiwa unataka kugombea ubunge kupitia Chadema,hauoni kuwa huo ni utapeli uliotukuka.
 
Attachments

  • 1404713852721.jpg
    1404713852721.jpg
    9.1 KB · Views: 160
Anae mtetea huyo kijana ana upungufu wa upeo ngoja tuone..huo mpangilio wa mane no tu ni wa kitapeli kama vipi aliye Dodoma afuatilie ada tulipe shule moja kwa moja

na mtu mwenyewe awe reputable, siyo lemutuz!!...(hahaha, im joking)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom