Mkasa wa maisha yangu

Mkasa wa maisha yangu

Status
Not open for further replies.
kuna simu za line mbili hadi za 30000 unapata

Kweli kabisa wala si uongo, huna pesa za school fees, utumie simu za line mbili? inaingia akilini mwako?

Kwangu naona ni utapeli tu, kama wewe inakuingia akilini unaweza msaidia. Ruksa.
 
Khaa utapeli wa kitoto sana. BTW kwanini usiombe mkopo kwanza kabla ya kuomba msaada?? Usipende vya bure fanya kazi kwa bidii
 
Dogo kauzu...kuna wana jamii Dom watafute wakuhoji live na watuthibitishie tutachanga ....kuna mdau kasema Kwa sasa yupo Dom mtafute..ukishindwa we pita zako ivi
 
Dogo atakua tapeli mana hadi sasa hajibu kitu humu na nina amini michango yetu anaisoma humu.
 
Mpatanishi na wengine,Habarini za jioni nimeshindwa kuwataja wote niwieni radhi, sijawahi kumtapeli mtu na sidhani kama nitakuja kumtapeli mtu hata kama shida zitanibana kiasi gani, kuna vitu nimevisoma nimeshangaa sana lakini pia mniwie radhi niliowashangaa kwa comment zenu, nimechelewa kujibu coment zenu maana mpaka niende kwenye internet cafe, kwa wale waliojitoa kunisaidi na kutaka kupata uthibitisho, nikuwa mwaka jana nilifanya mtihani wa QT kidato cha pili kwa jina langu hili halisi Mbaga Michael kwa namba M1791-0019 katika kituo cha Mvumi Mkulu Secondary School Centre, ingia katika tovuti ya Necta tafuta yalipo matokeo ya QT tafuta hicho kituo utaona jina langu, ila kwa mtihani wa kidato cha nne nitajisajili katika shule ya Dodoma Secondary, kwa hivyo sasa wale wanaojaribu kupotosha kuwa sijui niliwatapeli niliwatapeli vipi? sina haja ya kujibizana nao kwa kifupi ndo hivyo, kwa wale mlioko dodoma nipigieni simu yangu hiyo hapo juu ili kupata kile kinachowatatiza ahsanteni sana, nipo dodoma nitafuteni tukutane.
 
Dogo tuhuma ulizoshushiwa hapa siyo ndogo.

Hebu Jaribu kujibu baadhi ili utuondoe woga sisi tuliokuwa tayari kukusaidia lakini tumekosa hakika ya uhitaji wa shida yako.
 
Mtoto mdogo anapangilia maneno na kuandika kwa hekma kiasi hiki? ..kweli katoto haka? Si kwweli. Naungana na wanaomtilia shaka!.. hata hivyo mi siwaamini sana watu wanoomba msaada kwa watu wasiowajua...wengi ni matapeli mnaopenda kutapeliwa enndeleeni.

Amezaliwa 1991,si mtoto.
 
Mpatanishi na wengine,Habarini za jioni nimeshindwa kuwataja wote niwieni radhi, sijawahi kumtapeli mtu na sidhani kama nitakuja kumtapeli mtu hata kama shida zitanibana kiasi gani, kuna vitu nimevisoma nimeshangaa sana lakini pia mniwie radhi niliowashangaa kwa comment zenu, nimechelewa kujibu coment zenu maana mpaka niende kwenye internet cafe, kwa wale waliojitoa kunisaidi na kutaka kupata uthibitisho, nikuwa mwaka jana nilifanya mtihani wa QT kidato cha pili kwa jina langu hili halisi Mbaga Michael kwa namba M1791-0019 katika kituo cha Mvumi Mkulu Secondary School Centre, ingia katika tovuti ya Necta tafuta yalipo matokeo ya QT tafuta hicho kituo utaona jina langu, ila kwa mtihani wa kidato cha nne nitajisajili katika shule ya Dodoma Secondary, kwa hivyo sasa wale wanaojaribu kupotosha kuwa sijui niliwatapeli niliwatapeli vipi? sina haja ya kujibizana nao kwa kifupi ndo hivyo, kwa wale mlioko dodoma nipigieni simu yangu hiyo hapo juu ili kupata kile kinachowatatiza ahsanteni sana, nipo dodoma nitafuteni tukutane.

We ni mpigaji mkuu,bora ubadili mwelekeo tu,la sivyo nitakuumbua.
 
Kweli kabisa waa si uongo, huna pesa za school fees, utumie simu za line mbili? inaingia akilini mwako?

Kwangu naona ni utapeli tu, kama wewe inakuingia akilini unaweza msaidia. Ruksa.

Duh tatizo hakuna wa kumwamini sasa labda umjue vizuri
 
Mtoto mdogo anapangilia maneno na kuandika kwa hekma kiasi hiki? ..kweli katoto haka? Si kwweli. Naungana na wanaomtilia shaka!.. hata hivyo mi siwaamini sana watu wanoomba msaada kwa watu wasiowajua...wengi ni matapeli mnaopenda kutapeliwa enndeleeni.

hao unaowajua unawasaidia?
 
Nafikiri wenye upeo mmeanza kunielewa.

wewe vp kwani imekuwaje...si uweke wazi alichowai kufanya ili jamii ya jf iamue?...kama unashindwa piga kimya...watu kama ninyi ndo mnaopotezwa unashangaa huonekani......ufitina mbaya sana.weka wazi madai yako kama kweli.acha ulongo!
 
Tafadhari Mbaga Michael rudi jukwaani ili uje kukanusha hizi tuhuma dhidi yako, ukimya wako unasababisha wanajf wawe na mashaka na wewe.

keshajibu na yule mtu aliyeko DODOMA ameshamwambia waonane na ampigie simu...pengine muda huu au kesho mipango ya shule au chochote inafanyika...ila kuna watu humu JF hawapaswi kuwepo...wamekuwa ni vikwazo sana kwa wengine...sijui ni kwa nini...eti mtu unamtuhumu unaombwa kuthibitisha hutaki...sasa si ungekaa kimya!some time you have to behave like mature person!
 
1901884_602073839878826_539804704_n.jpg
Nimejaribu kuzoom kidogo picha yako kijana, kweli unaonekana una mawazo,pole sana!

1470267_553244684761742_284857207_n.jpg
Hapa ni enzi zile uko kwa mjomba shinyanga?

10338308_648463878573155_7455740222998938101_n.jpg
Pole sana, mungu atakusaidia

10253932_647534265332783_1994193703742756641_n.jpg

Naona na kabibiem, mambo ya mawasiliano muhimu.

248243_116963055056576_2728018_n.jpg

Hapa naona kasalio ulikuwa unakatamani ukaona utupiemo hata kapicha.

1450899_559583480794529_1412410894_n.jpg

Ih, hapo ulinena ukweli tupu, fuata ujumbe huu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom