Mkapa: Wapinzani ni wajinga na hawana adabu

Mimi sijawahi kuona mke akimpigia kampeni mume kwa nguvu hii

6.jpg

Hawa mali walizotuibia wazazi wao zinatosha sana,........thou uchaguzi huu kwangu nauchukulia kama kipimo cha akili za Wadanganyika zimefikia level gani! kuwapa ulaji zaidi wawili ni kujitukana wenyewe hao watakaowapigia kura.
 
mkapa ananifurahisha sana anavojitetea..hivi huyu mgombea hawakujua kuwa ni *****,..eti anaita Mkoa wa Arumeru...hahaaaaa CCM bana mna mambo sana...
 
kwa kuwa alimmaliza yule mzee kule uingereza,
anaanza kuleta mparaganyiko katika familia ya mama maria,
ina maana huyo kijana alimzaa yeye au alimzaa pesa mbili.
 
Hawa mali walizotuibia wazazi wao zinatosha sana,........thou uchaguzi huu kwangu nauchukulia kama kipimo cha akili za Wadanganyika zimefikia level gani! kuwapa ulaji zaidi wawili ni kujitukana wenyewe hao watakaowapigia kura.

Unaweza kutuwekea ushahidi wa tuhuma zako, au ndio tuchukulie kuwa mfa maji haishi kutapatapa?
 
haya unayoendelea kufanya ndiyo yatakayozidi kukumalizia heshima yako
mbele ya jamii ya kitanzania. na ndivyo unavyofanya tukumbuke mali
ulizohodhi wakati wa uongozi wako.
 
Mzee kawa Mbogo anamwaga mitusi kama hajawahi kuwa Rais,hawa watoto watamfanya babu arushe ngumi
 
mjinga si tusi,ni aina ya mtu asiyeelewa lakini akielimishwa ataelewa.tatizo hapa ni nani? Kasema tu!
 
Usipoambiwa na mtu mgombea wa CCM ni yupi ni rahisi sana kuamini kwamba Mkapa ndiye mgombea ubunge wa CCM Arumeru, ni unafki mtupu kusema atatatuwa matatizo ya ardhi ya wana Arumeru wakati amekaa ikulu miaka 10 na hakufanya hivyo, ndio maana huwa sipendi kusikiliza mikutano ya wanasiasa uchwara maana hawatoi nafasi ya kuulizwa maswali magumu.
Kishawamaliza CHADEMA nyie mnatapatapa sasa humu JF. Jiandaeni tu kukataa matokeo si ndo zenu safari hii sijui viongozi wenu watajifisha wapi.
 
uzuri wa maneno kama haya hu-backfire at times we ngoja kamati ya ushindi CHADEMA ije na ushaidi kwamba hata pamoja ya kuwa si mtoto wa kuzaa basi ni mpwa then unaleta picha ya Mwl Nyerere na Young Vincent kwisnei! Tena kama inatokea labda Mwl ashawahi shiriki shuguli za Vincent then unaweka picha!

Siasa mchezo mtamu...btw kwani Mkapa ni nani zaidi ya ukaribu wa kikazi kufanya kazi kama mwandishi wa Nyerere kipindi kile? Mbona sisi hakuwahi kututambulisha baadhi ya watoto aliolea walikuwa wa Mramba na mama Mkapa na si wake wa kuzaa na ukizingatia alikuwa Rais wa JMT kwa miaka 10!? Hizi hekima huenda wap jamani?

Hizi siasa za kuvuana chupi zisije kumwacha uchi mzee wa watu, ohooo!

Mmmmmh ukilijua hili wenzako watalijua lile! Fikiri kabla ya kunena!
 
Wakina Mkapa hawafai tena kuarikwa kufungua kampeni katika hizi chaguzi ndogo , maneno yao bado yamejikita kwenye kusimanga au kukandia mwisho wa siku wanatengeneza maadui, wamekuwa hivyo hawawezi kubadilika, siasa zao zama hizi za vijana hazifai tena wasome alama za nyakati,vijana wanataka kuhamasishwa, kwa hiyo CCM ianze kuwatumia vijana wao katika shughuri hizi, vijana kama J. Makamba, D. Filikunjombe, watu kama Simbachawene n,k.Mkapa kwisha kazi pumzikeni mnaharibu sasa.
 
Back
Top Bottom