Mkapa: Wapinzani ni wajinga na hawana adabu

Kutokana na Kuongoza Kampeni Arumeru Mzee Mkapa ameonesha kuchanganyikiwa kwa kutumia muda wake Mwingi kujibu Makombora yanayorushwa kutoka CHADEMA ametumia muda wake Mwingi sana kujitetea katika tuhuma za Ufisadi na kuasisi Ufisadi Papa ikiwemo tuhuma za Uporaji Ardhi,Akihutubia katika viwanja vya Patandi Arumeru Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Msigwa ameendelea kurusha Makombora kwa Serikali ya CCM kuwa ndio chanzo cha maisha Magumu kwa Watanzania hasa wanapopandisha Bei ya Bidhaa ili kuhudumia Marais wastaafu kama Mkapa waliofikisha Nchi hapa ilipo.
Nikiripoti kutoka Tengeru ni mimi Mgosi Mgeni wenu wa jamii forums

Hongeya Mgosi,

Utupe vibwagizo zaidi kutoka huko Arumeru.
 
Mimi nimefurahishwa tu na maelezo kwamba pamoja na kubeba watu kwenye malori na vikundi vya burudani lakini hawajavunja rekodi ya CDM.

Kwi kwi kwi, teh teh teh! nasikia Moshi yote ilihamia Arumeru! kweli?
 
"Wapinzani ni wajinga na hawana Adabu". Hii ni kauli ya Mkapa. Mzee gani huyu? Nitaiga nini kutoka kwake? Mzee mzima ametoka Dar kwenda Arumeru kutoa matusi? Je na mimi nikipewa jukwaa pembeni nikaanza kutoa hotuba kuwa Mkapa ni Mjinga na hana adabu, maneno hayo hayo aliyotumia jukwani tutafika? Inaelekea ametoa matusi kibao ila TBC wameona hayo ndo yanafaa kutuletea kwenye Taarifa ya habari ya saa mbili usiku. Kwa busara hii inayopaswa kutiliwa shaka na kila Mwenye akili, Mkapa ana sifa zote za kuwa "Mzee wa Dar es Salaam".

Wakatoliki wamelikumbatia jizi!! Hili jitu lilituibia. Ukweli utabaki hivyo kwenye vitabu vya historia vya nchi hii. Mzee Mwinyi hakutuibia, historia itabaki hivyo katika vitabu vya nchi hii.
 
CCM is full of fake People,Mwigulu anafaa kuimba taarabu,anamameno ya shombo Mzee Yussuph hampati...
Nimeshuhudia jana swaga zake...si mwanasiasa Mwigulu ni mwana mipasho...
 
Kwi kwi kwi, teh teh teh! nasikia Moshi yote ilihamia Arumeru! kweli?

Mkuu Ribosome umenifurahisha sana.Kumbe CCM ilibeba watu kwa malori kutoka Moshi na bado wakashindwa kuipiku CDM? Ama kweli sikio la kufa.....
 
nimeona gari la king'ori likiwa na wana ccm wakutosha,pia kosta za moshi arusha zilikodiwa za kutosha na zilijipanga kuanzia wilaya za jirani kalibu zote kusafilisha wana ccm...
Wana CDM maisha sijawahi sikia wamekodishiwa gari...hujichanga wenyewe na kutafuta usafiri kwa gharama zao na kwenda kwenye mikutano...CCM ni jeuri ya pesa na ndo Maana mmeshindwa kukanusha shutuma za kutumia milioni 220 kwenye kura za maoni wakati wenzenu CDM wametumia shs mil 6.2,huu utajiri mmeupata wapi lakini?,na mwezi huu wafanya kazi wa serikali mjiandae mshahara hadi tarehe 5 april...
 
Siasa za Tanzania zina vichekesho sana.. a person like Mkapa anataka kuvaa viatu vya marehemu Ditopile Ukiwaona Wazuri Nitupie?Mab=neno mengine siyto ya kujaribu kuyaongea maana ni rahisi kukuvunjia heshima
 
we mkapa acha uchizi,mbona ninyi mna watoto wengi tu mnawapotezea?,Jakaya mwenyewe ana mtoto maeneo ya mikanjuni Tanga na alijengewa nyumba na Abdul Azizi former mkuu wa mkoa baada ya huyo mtoto kutimba mkoani na kutishia kumwaga unga kwenye Media,Pia Makamba nae ana mmoja ni mwalimu Shule ya Mikanjuni,haqa wote hawako kwenye maboma ya Baba zao,siku wakiwataja pia mtawakana,Pambaf nyie...
 
Katika namna iliyowashangaza wengi akizindua kampeni za CCM jana huko Arumeru Mashariki, Rais mstaafu Benjamin Mkapa alidai kuwa meneja wa kampeni za CHADEMA, Vincent Nyerere, sio mmoja wa wanafamilia wa Mwalimu Julius Nyerere akidai kipindi chote alichofanya kazi na mwasisi huyo wa Taifa hakuwahi kutambulishwa mtoto yeyote mwenye jina hilo katika familia hiyo.

Mkutano huo wa CCM umeshindwa kuvunja rekodi ya umati wa watu waliofurika juzi wakati CHADEMA ilipozindua kampeni zake, ambapo licha ya kuwa na vikundi vingi vya burudani, idadi ya watu haikulingana na ile ya wapinzani wao.

Source:Tanzania Daima.

Kumbe source ni Tanzania Daima? Basi tena sina haja ya kuendelea.
 
nimeona gari la king'ori likiwa na wana ccm wakutosha,pia kosta za moshi arusha zilikodiwa za kutosha na zilijipanga kuanzia wilaya za jirani kalibu zote kusafilisha wana ccm...
Wana CDM maisha sijawahi sikia wamekodishiwa gari...hujichanga wenyewe na kutafuta usafiri kwa gharama zao na kwenda kwenye mikutano...CCM ni jeuri ya pesa na ndo Maana mmeshindwa kukanusha shutuma za kutumia milioni 220 kwenye kura za maoni wakati wenzenu CDM wametumia shs mil 6.2,huu utajiri mmeupata wapi lakini?,na mwezi huu wafanya kazi wa serikali mjiandae mshahara hadi tarehe 5 april...

Ni kweli mkuu wangu
 
Usipoambiwa na mtu mgombea wa CCM ni yupi ni rahisi sana kuamini kwamba Mkapa ndiye mgombea ubunge wa CCM Arumeru, ni unafki mtupu kusema atatatuwa matatizo ya ardhi ya wana Arumeru wakati amekaa ikulu miaka 10 na hakufanya hivyo, ndio maana huwa sipendi kusikiliza mikutano ya wanasiasa uchwara maana hawatoi nafasi ya kuulizwa maswali magumu.
 
Rais mstaafu amewataka wana Arumeru kuwapuuza waliokuwa wakivumisha uongo kwamba amekataa kuzindua kampeni za CCM.
 
Mkapa angejibu hoja za Vincent Nyerere kuhusu ufisadi wake kuliko kujitetea kwa majibu dhaifu
 
Mimi sijawahi kuona mke akimpigia kampeni mume kwa nguvu hii

6.jpg
 
mkapa kajidhalilisha sana na kujivua nguo,kama nakumbuka aliingizwa kwenye hy familia ya mwalimu km mwanafamilia,leo ameanza kukana ukoo huo huo hv kweli ni hanazo kusema mh vincent ni mtt wa hayati julius kambarage?hk akijua ukweli kuwa ni mtt wa marehemu mzee kiboko na mbaya zaidi hata mazishi ya huyo mzee alikuwepo!kweli siasa mchezo mchafu!
 
Nakumbuka alikwenda butiama kuhudhuria mazishiQUOTE=Bweri;3486724]mkapa kajidhalilisha sana na kujivua nguo,kama nakumbuka aliingizwa kwenye hy familia ya mwalimu km mwanafamilia,leo ameanza kukana ukoo huo huo hv kweli ni hanazo kusema mh vincent ni mtt wa hayati julius kambarage?hk akijua ukweli kuwa ni mtt wa marehemu mzee kiboko na mbaya zaidi hata mazishi ya huyo mzee alikuwepo!kweli siasa mchezo mchafu![/QUOTE]
 
Back
Top Bottom